Husna posh:mamaa dothnata-namba 1 kwa utajiri.

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Aise Huyu mama anamafanikio sana na inasemekana ndio tajiri namba moja katika tasnia ya filamu

Utajiri wake:
1.Ana Nyumba Tano za Kifahali dar-es-salaam(Nyingine ni ghorofa mbili,nyingine moja)
2.Ana magari ya kifahali matano(Jaguar,Prado,Range Lover Vogue,Benz na Hummer)
3.Ana kampuni ya Cartering ambayo inafanya kazi sehemu nyingi sana na inamuingizia kipato cha juu
4.Anacheza film na pia anauza film

Range Rover Vogue:
Range Rover Vogue.jpg

Prado:
Prado.jpg

Nawasilisha.
 
Una hakika utajiri wake wote ni wa fedha halali? Catering services hizo ni dsm tu au anayo chain?

Just thinking aloud maana sioni kama film industry au catering services za nchi hii inayoitwa tz vinaweza kumfanya mtu akawa billionaire kwa kipindi cha miaka mitano mpaka kumi na tano
 
Amekiri live kwamba ni mikono yake ndio imempatia hivyo vitu kupitia film na cartering..........Kwa sasa anatembelea Vogue ila Hummer anaifanyia biashara ya kubeba ma-harusi na kukodisha ktk kazi mbalimbali
 
I know dotnata kipindi cha wedding of my sister, huyu dada anapata pesa nyingi sana kwenye mapambo na catering za harusi, anacharge bei kubwa sana you can't not less than 4 million kupamba a single events, na kutokana na reputation yake mjini kwamba ndo best kwenye mapambo anapata tenda nyingi sana na anachofanya akatai tenda anachukua tenda kisha ana subcontract kwa mtu anayemuamini mkali kisha kwenye sherehe anakuja kuchungulia dakika 10 kujionesha kama yeye ndo mpambaji then anaenda kwenye harus nyingine fasta,

Unakuta kwa j mos moja kala tenda harusi 50 lakini zote ame subcontract na ana charge not less than 4 million kwa harusi, and unakuta anaowauzia tenda anawapa may be 2 million au less than that, kwa nini asiwe tajiri

Sema kinachompa good reputation anauza tenda kwa wapambaji wakali ambao wanaigeuza diamond jublee iwake wake mpaka basi, na yryr anakuja kuzuga zuga wakat wa sherehe msishtukie mchezo, hapo catering bado hajapata,

Inshort she knows how to make money and she succeed on that, this are woman to inspire other ladies that sio lazima university degree to reach ur dream life
 
Yupo Juu sana huyu dada anamalizia ujenzi wa ghorofa lake la pili familia ya watu 24 anayoishi nae wapate kila mtu chumba cha peke yake kukaa!!
 
Aise Huyu mama anamafanikio sana na inasemekana ndio tajiri namba moja katika tasnia ya filamu

Utajiri wake:
1.Ana Nyumba Tano za Kifahali dar-es-salaam(Nyingine ni ghorofa mbili,nyingine moja)
2.Ana magari ya kifahali matano(Jaguar,Prado,Range Lover Vogue,Benz na Hummer)
3.Ana kampuni ya Cartering ambayo inafanya kazi sehemu nyingi sana na inamuingizia kipato cha juu
4.Anacheza film na pia anauza film

Nawasilisha.

I know dotnata kipindi cha wedding of my sister, huyu dada anapata pesa nyingi sana kwenye mapambo na catering za harusi, anacharge bei kubwa sana you can't not less than 4 million kupamba a single events, na kutokana na reputation yake mjini kwamba ndo best kwenye mapambo anapata tenda nyingi sana na anachofanya akatai tenda anachukua tenda kisha ana subcontract kwa mtu anayemuamini mkali kisha kwenye sherehe anakuja kuchungulia dakika 10 kujionesha kama yeye ndo mpambaji then anaenda kwenye harus nyingine fasta,

Unakuta kwa j mos moja kala tenda harusi 50 lakini zote ame subcontract na ana charge not less than 4 million kwa harusi, and unakuta anaowauzia tenda anawapa may be 2 million au less than that, kwa nini asiwe tajiri

Sema kinachompa good reputation anauza tenda kwa wapambaji wakali ambao wanaigeuza diamond jublee iwake wake mpaka basi, na yryr anakuja kuzuga zuga wakat wa sherehe msishtukie mchezo, hapo catering bado hajapata,

Inshort she knows how to make money and she succeed on that, this are woman to inspire other ladies that sio lazima university degree to reach ur dream life

Kwa maelezo haya, anastahili pongezi.
 
khalaga baho.....baadhi ya gari sio zake...... Anajua ujanja anaoutumia.....
 
Wanawake hua hampendani,jadili hoja hatupo jukwaa la lugha
Kistaarabu ulipaswa kumshukuru na kuihariri(kuiedit) post mama....

Maana ni kweli Fahali lina maana ya Dume la ng'ombe....Neno sahihi lilikuwa ni 'Magari ya kifahari'...

Na Range Lover ni kweli maana yake ni mwenye mapenzi na Range.........Neno sahihi na Range Rover...
 
dont care wht she did to be tht loaded.....atleast she hustles instead of kukaa na kupiga umbea kama wanawake wengine....majungu si mtaji jamani pigeni kazi...way to go mrs Posh "WEWE NI JEMBE LA KIKE"
 
Kama ni kweli anapata kwa njia halali, hongera zake na Mungu ambariki sana, huwa nasikia anajitoa sana kusaidia wasiojiweza na wengine anaishi nao nyumbani kwakwe
 
Back
Top Bottom