asante sana, nipo hewani sasaBibie karibu sana
Na vipi siku yako leo
DJ sepetu
asanteHusna karibu
DJ sepetu
ni mtu mzuri. i mean im female, hummble, calm and hardworking.Hebu tujuze husna ni mtu Wa aina gani
DJ sepetu
niliijua tangu kitambo, mwaka 2012, sema sikujiunga nilikuwa msomaji tuvip uliijua jf Na kwann ulijiunga!
DJ sepetu
Malezi yapi unajutia kuyapitia toka kwa wazazi Na yapi unajifunia!
DJ sepetu
the boss lady