HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Jf kila mtu ana Gari nzuri ( hakuna Mwenye spacio[emoji23] [emoji23] ), Nyumba Kali, mabiashara ya maana!

Wote wameenda ulaya eidha kusafiri kibiashara au kutembea!

Mtu unaeza jiona una nuksi!...yaaaani!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani huyu alitutia unyonge wengi sana. Yaani kumbe anauza kitanda cha fundi juma
 
Jf kila mtu ana Gari nzuri ( hakuna Mwenye spacio[emoji23] [emoji23] ), Nyumba Kali, mabiashara ya maana!

Wote wameenda ulaya eidha kusafiri kibiashara au kutembea!

Mtu unaeza jiona una nuksi!...yaaaani!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] kumbe mlugaruha tu
Kuna mmoja humu fundigarage ana matusiiii
Mwingine mfuga kuku ila mashauzi yake ni hatari
Halafu hawajui tu watu wanaoishi maisha ya kuigiza huwa hawafanikiwi
 
Jf kila mtu ana Gari nzuri ( hakuna Mwenye spacio[emoji23] [emoji23] ), Nyumba Kali, mabiashara ya maana!

Wote wameenda ulaya eidha kusafiri kibiashara au kutembea!

Mtu unaeza jiona una nuksi!...yaaaani!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kasoro mm tu ujue sina hivyo [emoji1] nahisi nipo mwenyewe nataka nichange na ukhuty wangu mwaka 2020 tununue la kwetu
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jf kila mtu ana Gari nzuri ( hakuna Mwenye spacio[emoji23] [emoji23] ), Nyumba Kali, mabiashara ya maana!

Wote wameenda ulaya eidha kusafiri kibiashara au kutembea!

Mtu unaeza jiona una nuksi!...yaaaani!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha bila kunisahau mim similiki hata baiskel msaka tonge mwenzangu njoo cc shunie [emoji53][emoji53]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…