Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
ahahaaaa dume hiloKwa ulivyo niita, leo sidhani kama nitalala maana mawazo yameenda mbali sanaaa....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahaaaa dume hiloKwa ulivyo niita, leo sidhani kama nitalala maana mawazo yameenda mbali sanaaa....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Yani huyu alitutia unyonge wengi sana. Yaani kumbe anauza kitanda cha fundi jumaJf kila mtu ana Gari nzuri ( hakuna Mwenye spacio[emoji23] [emoji23] ), Nyumba Kali, mabiashara ya maana!
Wote wameenda ulaya eidha kusafiri kibiashara au kutembea!
Mtu unaeza jiona una nuksi!...yaaaani!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] kumbe mlugaruha tuJf kila mtu ana Gari nzuri ( hakuna Mwenye spacio[emoji23] [emoji23] ), Nyumba Kali, mabiashara ya maana!
Wote wameenda ulaya eidha kusafiri kibiashara au kutembea!
Mtu unaeza jiona una nuksi!...yaaaani!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahaaaa. Natamani niyaone hayo mshairi swahiba. [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji1] aah wapiiiMara Paaap PrincessAnne ndio@Joseverest Aaah! natania tu
Wanapenda vya dezo dezo...hahaaaaHalafu walivyoona anajinadi ana hela wakajua mteremko nawapa pole[emoji28] [emoji28]
Wamenyooshwa
Karibu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unafukua kaburiPole sana rafiki nimeona namna ulimzimikia the bosslady
Mjini nimeingia leo usiniambie kam ni dume kweli[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nimeona swahiba sijaamini ujue. Ila nawasifu sana mana wanakuwaga na viherehere mwisho wa siku wanaumbuka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Swahiba eti na yule aliyeenda unyagoni naye ni dume[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Jf kisima cha burudani wallah vileee
Kasoro mm tu ujue sina hivyo [emoji1] nahisi nipo mwenyewe nataka nichange na ukhuty wangu mwaka 2020 tununue la kwetuJf kila mtu ana Gari nzuri ( hakuna Mwenye spacio[emoji23] [emoji23] ), Nyumba Kali, mabiashara ya maana!
Wote wameenda ulaya eidha kusafiri kibiashara au kutembea!
Mtu unaeza jiona una nuksi!...yaaaani!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Yani katika viumbe wa ajabu wa kwanza ni mwanaume[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Anatongoza na kuhonga ID na picha za mitandaoni huwa hawajiulizi yani mtu serious anaweza weka picha zake humu[emoji23] [emoji23]
Acha wapambane na hali zao maana wameyataka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kitu nimejifunza kwa Eric Otieno
1). Humu wanawake hatuzidi watatu
2) . Most of the people here na choka mbaya, japo pia kuna wasomi ila ndo chapa ilale, hakuna kitu ptuuuuu!
3). Wanaume wengi wa Jf wamelizwa visenti vyao na machoko/ mabwabwa wakidhani ni wadada..
Mwisho wanaume mna siri nzito vifuani mwenu na mnakutana na mambo mazito mnoo ( siwezi kuyasema hadharani)
Kwaherini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha bila kunisahau mim similiki hata baiskel msaka tonge mwenzangu njoo cc shunie [emoji53][emoji53]Jf kila mtu ana Gari nzuri ( hakuna Mwenye spacio[emoji23] [emoji23] ), Nyumba Kali, mabiashara ya maana!
Wote wameenda ulaya eidha kusafiri kibiashara au kutembea!
Mtu unaeza jiona una nuksi!...yaaaani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha tudokeze kidog[emoji36][emoji36][emoji36][emoji28] [emoji28] [emoji28] kumbe mlugaruha tu
Kuna mmoja humu fundigarage ana matusiiii
Mwingine mfuga kuku ila mashauzi yake ni hatari
Halafu hawajui tu watu wanaoishi maisha ya kuigiza huwa hawafanikiwi
Nipo dada la kwetu tunanunua 2020 [emoji1][emoji1][emoji1]Hahaha bila kunisahau mim similiki hata baiskel msaka tonge mwenzangu njoo cc shunie [emoji53][emoji53]
Uwiiiiii tujitahid wallah[emoji1][emoji1][emoji1]Kasoro mm tu ujue sina hivyo [emoji1] nahisi nipo mwenyewe nataka nichange na ukhuty wangu mwaka 2020 tununue la kwetu
Lazima aisee tukianza kuweka mia mia kwa kibubu mpaka 2020 si tunanunua la kwetuUwiiiiii tujitahid wallah[emoji1][emoji1][emoji1]