Usije badili dini bila radhi ya wazazi wote wawilimuslim, japo nahisi ntaolewaga na mkristo
Nimesha sema kule chemba...[emoji39] [emoji39]sema my
Unamshusha Kagame kiasi hicho jmn!!haijajaa...na nikikufuata kwako ni kujishuhsa daraja. find me
Duhh....[emoji15] [emoji15] [emoji15]million 5.
Mi mwenyewe nimeshangaa mana katika madada zangu humu jf huyo miss chagga na Sky Eclat nawapenda na kuwakubali michango yao hadi naumwaDaah huyu dadangu yuko poa sana labda mna ugomvi
sio mbaya..tunamuabudu Mungu mmoja.muslim, japo nahisi ntaolewaga na mkristo
Hakuna uadui mkuu, tunafurahi tu, kwa taarifa yako wenye nyodo wanajua kupenda balaa, jitahidi uweze kummudu utafaidiAahhaa kumbe ulikua unatega.
Hao wameona fursa, na wamekimbilia mp ili wakunase kiurahisi ilhali wameficha makucha yao.yeah...but wanaojielewa ndio hao wako pm direct na hawaniprovoke hapa
Basi sawakampuni ndo hiyo shule
Hata mimi nimebakia mdomo wazi aiseeee.......Daah huyu dadangu yuko poa sana labda mna ugomvi
Umeona ee, tunapambana hapahapaHao wameona fursa, na wamekimbilia mp ili wakunase kiurahisi ilhali wameficha makucha yao.
Wanaume tunao jielewa tupo hapa mubashara....[emoji13] [emoji13]
hapana...muda wa mabwana naupata wapi?
Hakuna uadui mkuu, tunafurahi tu, kwa taarifa yako wenye nyodo wanajua kupenda balaa, jitahidi uweze kummudu utafaidi
najuaHao wameona fursa, na wamekimbilia mp ili wakunase kiurahisi ilhali wameficha makucha yao.
Wanaume tunao jielewa tupo hapa mubashara....[emoji13] [emoji13]
mm ni muisilamu mjanja mjanjaMuslim inakuaje unakula kongoro za kitimoto?
unashangaa nn...hujawahi kuishika 5m?Duhh....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
faida ni kwamba hutajua shida n nn, hasara ni kwamba binafsi km mm napata wakati mgumu kujichanganya na waswahili kama nyinyi
Haya majibu yasio fanana yametokea kwako...[emoji15] [emoji15] [emoji15]binafsi najichukulia km sisdta kipenzi cha watu nisie na makuu, ndio maana hamnipi shida, ila ukishit nashit pia...yaani kiswahili swahili
yy nani? i am the boss lady. hahahaUnamshusha Kagame kiasi hicho jmn!!