HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Hao wameona fursa, na wamekimbilia mp ili wakunase kiurahisi ilhali wameficha makucha yao.
Wanaume tunao jielewa tupo hapa mubashara....[emoji13] [emoji13]
Umeona ee, tunapambana hapahapa
 
Muslim inakuaje unakula kongoro za kitimoto?

30644ec140631a654ebfd1e896103cc1-jpg.530268
mm ni muisilamu mjanja mjanja
 
faida ni kwamba hutajua shida n nn, hasara ni kwamba binafsi km mm napata wakati mgumu kujichanganya na waswahili kama nyinyi

binafsi najichukulia km sisdta kipenzi cha watu nisie na makuu, ndio maana hamnipi shida, ila ukishit nashit pia...yaani kiswahili swahili
Haya majibu yasio fanana yametokea kwako...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ama kuna mtu amedukua account yako...[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom