Sio kuhoji watu
Shukran dear penye wengi pana mengi kazi ya jicho kuona uwe na usiku mwororoNafurahi kusikia hivyo dada ake. Haya wacha tuoshe macho dada Watanga sie.
Uwe na usiku mwema dada. [emoji8]
Mie pia Shem,Leo nimechelewa kuingia humu tulikua kulee pahala lakini nami nikapepesa macho kwenye za mwishoni mwishoni nikaelewa huyu binti si size yetu wallahNimeziona chache shem nimekuwa mzembe wa kusoma...
Kwema? Nilikumiss eti
Loh mwanaume kwa kuringa wewe kosa kuzaliwa hendsam? Kusema kweli nakupenda Ila sio kama siku zileeHuko kujipooza ndiko kunakoniumiza nina moyo mmoja ujue...
Halafu sijui kama unanipenda, nionyeshe leo basi
Omba msamaha kwanza[emoji61]Hamna mpenz kweli vile nisamehe bure nilipitiwa mwenzio
Hahaaa. Dada ake kama kila page mtu anabadili maneno unadhani tutamwitaje. Na ni wachache dada wenye kulijua hilo walio wengi wanaona sawa.Hahaha kwann tuseme uongo sasa!? Tunajidanganya wenyewe nafsi ZETU na kwa Allah anathibitisha kua tumeshapata kutokana na yale tuyatoayo nafsini kwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]asikutishe bwana....Mie pia Shem,Leo nimechelewa kuingia humu tulikua kulee pahala lakini nami nikapepesa macho kwenye za mwishoni mwishoni nikaelewa huyu binti si size yetu wallah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah sinilikwambia jan nukta ina mada zake maalumKanukta!??? [emoji23] [emoji23]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji9][emoji9][emoji9][emoji8][emoji8][emoji8][emoji11][emoji11][emoji11][emoji7][emoji7]Many kisses.
Hakika dada.Shukran dear penye wengi pana mengi kazi ya jicho kuona uwe na usiku mwororo
Wa kukuringia ni wewe kila nikichomeka mguu nakukuta na Kaboom!Loh mwanaume kwa kuringa wewe kosa kuzaliwa hendsam? Kusema kweli nakupenda Ila sio kama siku zilee
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unisamehe san mpenz[emoji7][emoji7][emoji7]Omba msamaha kwanza[emoji61]
Dada zangu nawaona muda huu [emoji85] [emoji85] najua saa hizi mshapika ndio mana nawaona humu.Karibu sana ndugu kwenye usafiri wetu
Naona hadi unikanyage ndiyo ustuke ni mimi....Hahah sinilikwambia jan nukta ina mada zake maalum
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji9][emoji9][emoji9][emoji8][emoji8][emoji8][emoji11][emoji11][emoji11][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]loooh nisamehe kumbe ni wewe sijakuona mpenz nisameheNaona hadi unikanyage ndiyo ustuke ni mimi....
Ni mimi.. kumbe na wewe ni wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]loooh nisamehe kumbe ni wewe sijakuona mpenz nisamehe
Mzima dada akee za wewe yaan tumeshamaliza kila kitu ndio tupo jfDada zangu nawaona muda huu [emoji85] [emoji85] najua saa hizi mshapika ndio mana nawaona humu.
Mzima dada ake?
Aah wapi sema kila ukiniona macho yako yanaanza kumsearch Kaboom hata kama anajipitia utasema niko naeWa kukuringia ni wewe kila nikichomeka mguu nakukuta na Kaboom!
Hapo mwisho naona umekutana na shoga ako espy amekuambukiza hatelove
Nipo mdogo wangu,shukrani sana nami nakusabahiHahaaa. Dada ake kama kila page mtu anabadili maneno unadhani tutamwitaje. Na ni wachache dada wenye kulijua hilo walio wengi wanaona sawa.
Upo dada nakusalimia?