Sipati picha wale waliokuwa wanaomba kazi kwenye Kampuni ya Baba yake itakuwa alichora sana CV za watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapo waliokuja kwenye ule uzi kwamba wanaomba kazi sa sijui kama hawakwenda huko PM
Ndio maana nikamkatia alidhani nitamshobokeaJana alikualika papuchi yake unakumbuka mkuu!![emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Daah ! inasikitisha sana .
Nilishtuka kabla sio kauzuWe kauzu
DJ sepetu
Huenda kabisaYule atakuwa mtu Wa deep state am guessing
DJ sepetu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hapo kama nimekuelewa josse
Yah my babyShunie Linamo Mama Sabrina Nimekoma kutongoza jf ambae nimemtongoza asinipe jibu aisee..
Jf raha thanaaa
Mondii wa Curious gal
Mara paap tumejua [emoji23]MARA PAAAP HUSNA THE LADYBOSS KAWA ERIC OTIENO
KUMBE HUYU NI ME SIO KE???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iDevice using Tapatalk
We acha tu kila mtu anamiliki usafiri kumbe wauza vitandaHapo sasa[emoji38] [emoji38]
Jf raha sana yani humu kila mtu ana kazi nzuri. Wote tunakaa masaki, Mbezi beach, Sinza na Mikocheni[emoji23] [emoji23]
Bila kusahau gari na iphone na samsung wereva hatutumiagi.
Wanawake halisi hamzidi 30 humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi tupo wachache sana humu hata kumi hatufuki
Tumemsomaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mara paap tumejua [emoji23]
Jamanii
ID imeunganishwaMbona husna kawa Erick 😱