Kabisaaa maana uongo wao unatujengaUnajiuliza Mungu nimemkosea nini mimii ujue hizi interview ziendelee tu [emoji1][emoji1]
Mmmh wew acha tu sisemi mengiEbu niambie mods wanajuaje mara paaaap ukhuty ndio shunie [emoji1][emoji1]
Atarudia vizuri kabisa,mbona mbitsya amerudiUmeona eee, mwishowe kaumbuka kwa aibu..sidhani kama atakanyaga huku tena
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Naweza porwa atii, hawa wanaume sio salama tenaMfyuuuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cc Rogie upitie na huku kidog
Ntaandamana mwifwa.Mara paaap Ukhuty ndio mimi(jokes)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nijibu buanaaa kishanuka ....ujue mi na Quigley ndo tuliupeleka huu Uzi next level!?Sasa mm ni shostito[emoji12] [emoji12]
DJ sepetu
Na kung'ata meno. [emoji23] [emoji23]Wanalia huko pembeni
Nina ka id kangu kakupigia pesa[emoji23] [emoji23]Vipi na wewe una ka ID ka reserve??
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Inaonekana wanajua wanachofanya nilionaga ata zile za hr zote ziliunganishwa kwa jina moja la hr
Shost nitupie nisome now siezi rudi nyuma aseeShoga ako yulee husna boss lady ni mwanaume ndugu i'd yake imeungaishwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi nitatunga mwimbo wa kuimba wakati wa maandamanoNtaandamana mwifwa.
Hahaha....Dada nawaza tu apa maraaa paaaap yule mtu inajulikana mwanaume ujue ushimen tutamkuta icu [emoji1][emoji1]
Mpaka wengine kwenda pm kuongea mabiashara ujue hizi interview waendelee tu kufanyiwaNakwambia walimshadadia mwalimu mkuu mpaka mwisho....
Shost nitumie huo Uzi nisome now siwezi rudi nyuma, mmeniacha mbaliShooga. Kumbe bosslady ni dume. [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uliyemquote pindi unanitaja mimi ndio kasema huyu Erick Otieno ni miongoni mwa mods
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watatapeliwaMpaka wengine kwenda pm kuongea mabiashara ujue hizi interview waendelee tu kufanyiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu bado una hilo wazo sasa nahisi kuhusu kuchanga itakuwa mwaka 2020 [emoji1][emoji1][emoji1]Ngoja niendelee kuuza mchicha wangu uje uniungishe bas nipate hiyo hela ya kushea gar