Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio. maisha yangu n kama yako under CCTV, wazazi wakali, shule ni bweni za girls only, nkDah! Ulikaa kama msomaji tu muda mrefu
Why
DJ sepetu
nitalike, japo naweza kupotea hewani ju nipo kwa ofc sasa, nafasi ya jf kwangu ni kama ilivyo Reddit kwa ulaya...au Wikipedia.Uwe unalike swali langu kabla ya kujibu twende sambamba as l do
Wewe kwako jf ina nafasi gani
DJ sepetu
mwenye nafasi ya kudhani hivyo ni husband material...mm siwezi kujiamulia...mm nasubiri kuongozwa, hata km nina sifa za wife material lkn mwisho wa cku mwny maamuzi n mwanaumeUnadhani wewe ni wife material!!?
Kivipi
DJ sepetu
no nipo kazini, lazima nibalance, japo ntajibu maswali yote hata kama ntachelewaNaona mtahiniwa ametiririka hadi post ya 14 tu, then kaingia mitini....[emoji15] [emoji15]
sijawahi kuzaa...baba yangu ni strict, namuonaga kama gaidi...yaani siwezi kufanya ujinga
shule nimemaliza 2011 pale S.A. nikarudi home mzee akanipa kuwa dministrator wa shirika lake.Bado upo shule
DJ sepetu
aloo we vp??!!! husna sina mume, japo natamani,.Una mume
DJ sepetu
nilikuwa naandaa imprest za wafanyakazi wanaopaswa kupokea chao by 15thDah! Ulikaa kama msomaji tu muda mrefu
Why
DJ sepetu
Bosslady naomba ajira kwenye kampuni yako![emoji39]nilikuwa naandaa imprest za wafanyakazi wanaopaswa kupokea chao by 15th