Erick_Otieno
JF-Expert Member
- Mar 28, 2010
- 624
- 1,023
yeah n kwasababu upendo wa kweli haununuliwiNondo .Uko vizuri boss lady. Nimekupenda bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah n kwasababu upendo wa kweli haununuliwiNondo .Uko vizuri boss lady. Nimekupenda bure.
hapana. sifa bora ya mume ni: kupevuka akili, kufanya kazi, kukidhi mahitaji na kuwa romantic.Unadhani usomi ni sifa pekee ya mume bora
DJ sepetu
Kwambaaaali nimeanza kuiona opportunity....[emoji39] [emoji39] [emoji39]aloo we vp??!!! husna sina mume, japo natamani,.
bado hajaconfirm licha ya kunisumbua sana PM hadi nikamblock whatsapp...japo namfeel, actually haishi Tanzania, @reddevial ni Lecturer kwa madiba.Daaah,kumbe unaye tayar?...basi sawa.
sahauKwambaaaali nimeanza kuiona opportunity....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
24, pale St. magareth academy, pritoria...msouth mmoja mjinga alinibikiri kijinga kweli.[emoji23] [emoji23] mzuri
Ulianza mapenzi ukiwa Na umri gani
DJ sepetu
changamoto pekee ni kukutana na wanaume wapumbavu wengi kwa siku kuliko wanaojielewa....actually mm headmistress, so huwa naogopwa flani hivi amazingmmhi kuna maswali umeyaruka!
Nini chagamoto unayokabiriana nayo kazini kutoka kwa wanaume!?
Unaikabili vipi
DJ sepetu
utasubiri wewe usie na mahari.Kwa sura hii kuolewa utasubir kdgo
27
Umenishinda tabia wewe...[emoji13] [emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nikimuangalia machoni kwa dakika 3 na asipepese macho...huyo ndo mume.Mume akikufanyia nn hutogeuka nyuma
DJ sepetu
Sawakifupi, siwezi ishi bila mwanume, naweza tu kukaa bila mwanaume.
Ohhooo....[emoji15] [emoji15] [emoji15]Huyu demu japo kuwa anajifanya aonekane wa kishua ni kilaza tu maana anajionyesha sana..
Kila kitu company la baba nimemshusha sana
Daah,basi naomba mm niconfirm kwako..hakika huto jutia mtoto.bado hajaconfirm licha ya kunisumbua sana PM hadi nikamblock whatsapp...japo namfeel, actually haishi Tanzania, @reddevial ni Lecturer kwa madiba.