Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamjua mbon zitamfikia tu usijalAsante... msalimie nanii
Basi nitaacha haya wasalimie makapukuHata hivyo achana navyo tu jaman sio vizuri
Teh teh teh! Mbona baba yao hujamsalimia ?! Hakuna mtoto bila baba odo [emoji1] [emoji1] zimewafikia mpenzi InshaAllah siku moja muonaneAhsante sasa dada ake nafurahi kukuona mana nkitambo kidogo. Na mie sijambo kabisa dada wape salamu wanangu waambie Oddo wao anawasilimia.
Usiku mwema dada ake.
Kwa hiyo unanilipizia eeh? Bas sawaaIshaalah, [emoji8][emoji8]
Haraka nifute mchagga ananisoma kimya kimya
Naona wamwamkia mzee mwenye S8 yake hahahaSijambo shikamoo jaman
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aseeeHuyu demu japo kuwa anajifanya aonekane wa kishua ni kilaza tu maana anajionyesha sana..
Kila kitu company la baba nimemshusha sana
HahahaAfadhali nimepata mnyonge mwenzangu....[emoji23] [emoji23]
Siku akiwa hewani ukamwona ni cc... tumalize kesi maana siku hizi nyumbani Hatuli kutwa kwa jirani yake kaboom
Nani huyoSiku akiwa hewani ukamwona ni cc... tumalize kesi maana siku hizi nyumbani Hatuli kutwa kwa jirani yake kaboom
Teh
Na Mungu atatubariki kutokana na mapenzi yakeTupo mkuu usijione upo peke yako acha tuwasome tu na magari yao
Vale
Hivi mnajua fujo zenu wewe na Shunie zimebadilisha upepo wa interview kua MMU hahahaa acheni fujo Ushimen teh teh! Boss Lady arudi interview iendelee maana hata Moderator wa Tv mwenyewe kakimbiaNa Mungu atatubariki kutokana na mapenzi yake
AmeeenNa Mungu atatubariki kutokana na mapenzi yake
Hahaa yule bado unamngoja tu pole weeeVale
Toba.......[emoji87] [emoji87] [emoji87]Hivi mnajua fujo zenu wewe na Shunie zimebadilisha upepo wa interview kua MMU hahahaa acheni fujo Ushimen teh teh! Boss Lady arudi interview iendelee maana hata Moderator wa Tv mwenyewe kakimbia hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema umuazime smelter huyoHapa mnajadili nini? Mi niko darasa la saba...