Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
[emoji23][emoji23]....Hahaa yule bado unamngoja tu pole weee
Jumamosi hii mbona tumekula pilau
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombea tu liwe la kipaimaRa au ubarikio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]....Hahaa yule bado unamngoja tu pole weee
Jumamosi hii mbona tumekula pilau
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaa haaaa...si kwa kudrive huku[emoji23] [emoji23]Husna nakuja Nina drive kidogo!
DJ sepetu
Mkuu, mimi sio wa hivyo, siendeshwi na kichwa kidog a.k.a cha chini.Kesho usikatae kuwa uliandika wewe!
Najua amekuingia[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utajua mwenyewe. Lilikuwa la ubatizo[emoji108] [emoji108][emoji23][emoji23]....
Naombea tu liwe la kipaimaRa au ubarikio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani wewe bora Mungu akakuumba sura mbaya...vinginevyo, sisi waswahili tusingetembea barabarani.faida ni kwamba hutajua shida n nn, hasara ni kwamba binafsi km mm napata wakati mgumu kujichanganya na waswahili kama nyinyi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nafurah nakupenda zaidi [emoji9]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mamaweee......[emoji134] [emoji134]
Kumbe ndomana....
Usijali dada ake alikuwa anafuata nlianza kwanza wanangu. Ila naye mpe salamu zangu shemeji yangu mpendwa. Panapo majaaliwa siku moja ntakuja kuwasabahi.Teh teh teh! Mbona baba yao hujamsalimia ?! Hakuna mtoto bila baba odo [emoji1] [emoji1] zimewafikia mpenzi InshaAllah siku moja muonane
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo mkuu wa kazi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilijua mnafuatlia kimya kimya mwenzenu anavyojigamba...mnatuonaga maboya sana ke (sio wewe emmyta)
Ushoga mtupuMorano mama
DJ sepetu
Nlijua tu mana ndio za watanga hizo. Nafurahi kusikia umzima wa afya.Mzima dada akee za wewe yaan tumeshamaliza kila kitu ndio tupo jf
Hahaha shukran kwa kupenda comment zang sina maneno meng mie[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kat ya watu ninaopenda kuona comment zao ni wewe
Yaan kama huongeaji yan
Juz emoj au few words
Its cool
IQ standard
Asante muhenga mwenzangu, mzima?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakusalimia.
Naona mtu anatiririka tuNipo mkuu wa kazi...
Salimia huyo bibie....[emoji2] [emoji2]