HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Unaamini ktk nguvu za kiume Na maumbile ktk ustawi Wa ndoa Na mahusiano!?
Ikiwa mumeo hakuridhishi yaani hakufikishi utamvumilia kwa muda gani!?

DJ sepetu
kwanza sina mume...pili, nguvu za kiume ni theoritical fantasy ambayo educators wameamua kuishikia bango maana kwasasa ndo inalipa: mume wangu kuniridhirisha ni uwezo wake binafsi, uvumilivu wangi ni milele kwasababau tayari ndo nshamchagua kuwa mume, so sina option.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom