Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Niko bega kwa bega nawe, sema tu huwa nakurushia vimawe ili wasishtuke, nakukubali sanaaakm hapa umeshindwa insta utaweza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko bega kwa bega nawe, sema tu huwa nakurushia vimawe ili wasishtuke, nakukubali sanaaakm hapa umeshindwa insta utaweza?
Unawachukuliaje watu wanaopenda kufuatilia maisha ya mtuACHENI UJINGA...YAANI REPLIES 43 NDANI YA DAKIKA 1????? SINA KAZI YA KUFANYA AU??? muosha rungu hii interview iishe
Kuna couple humu jf je unavutiwa nazo!ACHENI UJINGA...YAANI REPLIES 43 NDANI YA DAKIKA 1????? SINA KAZI YA KUFANYA AU??? muosha rungu hii interview iishe
Wapi Mimi mgeniMbona kule hujibu sa nitakupataje unafikiri?
Mchokozi weweKatika Uzi mmoja Wa sky Eclat ulisikika ukimwambia kuwa anajidai ktk comments zake ana maish flani amazing kumbe choka tu,
Ulikuwa serious au kidding!
DJ sepetu
wanapungukiwa kutokujitambua.Nini kinakutofautisha Na wadada wengi Wa jf!!
Unadhani wengi wao wanapungukiwa nn
DJ sepetu
kwanza sina mume...pili, nguvu za kiume ni theoritical fantasy ambayo educators wameamua kuishikia bango maana kwasasa ndo inalipa: mume wangu kuniridhirisha ni uwezo wake binafsi, uvumilivu wangi ni milele kwasababau tayari ndo nshamchagua kuwa mume, so sina option.Unaamini ktk nguvu za kiume Na maumbile ktk ustawi Wa ndoa Na mahusiano!?
Ikiwa mumeo hakuridhishi yaani hakufikishi utamvumilia kwa muda gani!?
DJ sepetu
lol!!!!Usijali nitakua nakusubiri ila itaisha saa kumi
DJ sepetu
nilikuwa serious. yule dada hana hela = chokaKatika Uzi mmoja Wa sky Eclat ulisikika ukimwambia kuwa anajidai ktk comments zake ana maish flani amazing kumbe choka tu,
Ulikuwa serious au kidding!
DJ sepetu