HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Ww allah kiarabu=mungu kiswahili
God kingereza. =mungu kiswahili
Usipotoshe maneno hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio unapotosha, hata wanazuoni wa kiislam hawakubali God litumike badala ya Allah.

Hilo ni jina la Mungu wanayemwabudu waislamu, Japokuwa Allah lilitumiwa na Wakristo+wayahudi kabla ya uislamu.

Steve Jobs - Giant Of Technology.
 
sisi wakristo mungu wetu ni roho..na ndio alieumba mbingu na nchi...dunia na vyote vilivyomo.

nyie mungu wenu yuko wapi?
Mungu wenu akiwa roho hawi na jina?

Unaniuliza mimi, unanifaham dini yangu?

Wewe Mungu wako yuko wapi?

Steve Jobs - Giant Of Technology.
 
PM uje unitangaze nimekutongoza ukanikopa? Maana hamchelewi kuyazua[emoji23]

Wewe nifollow insta (mamawawilimimi) utanikuta nimejaa tele
Ukitaka kagroup cha chitchat kapo fuata link

RubiiKimimi[emoji85]
Kumbe kuna mambo kama haya jf? Nijuavyo mimi kutongoza ni siri hata kama mtakuwa na relationship inabakia kuwa yenu wawili, ukitangaza unampa faida nani?
 
Unataka kutengeneza legacy gani jf

DJ sepetu
 
Unatamani wanao waje kujifunza nn hasa toka kwako

DJ sepetu
 
Nitakuja pm tuongee, nimekupenda inaonyesha unapenda maendeleo, sawa switi?
[emoji23][emoji23]kagame naona unakula sahani moja na mrembo, taratibu hadi jina ushambadilisha
anyway mkimalizana huko pii em nistue na mimi niruke na mdogo wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom