witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Muosha marungu kausha usichafue Uzi...mpotezeeMiongoni mwa watu ninaowaombea bani ni wewe!
Huna aibu una comment comment ugoro tu!
Husna anatiririka unachomekea Mara sijui sura...hilo sura lako mbona hujapost kama yeye!
Mimi nakuambia bani utaipata soon or later!
Umejaa wivu Na chuki huna lolote
Unahitaji kipimo cha your brain
Ukiandika nyuzi ni utumbo mtupu
Huna ulichobakiza kuchafua watu!
Ili uonekane Na nyota yako ya kunguru!
Huwa sipendi kujibu watu kama wewe ambao ni haters Na naona nimekupa kiki sana kukujibu najuta!
DJ sepetu
Sent using Jamii Forums mobile app