Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Hahaaaaa mtoto wa dady
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa mtoto wa dady
Kweli dada akee otieno anaishi kwa room moja huko ujue nawaza tu mods wanajuaje mpaka kuunganisha id[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenishinda wallah emmyta njoo umchukue mdogo wako huku
Jf kibokoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namtafuta kwa hali na mali
JF kuna vituko sana,yani muuza kitanda anajifanya mtoto wa mboga saba.Hahaaaaa mtoto wa dady
Fake id's ndio sababu kuu na hiyo ndio inayosababisha mtu kujiamini kwa 100%Huu ujasiri sijui wanautolea wapi
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwifwa mwifwa mwifwa mdogo wangu. Hebu ishia hapo hapo. Ntakutoa humu ujue.
Wacha kushika sharubu watu wazima.
Hapana dada atakua anataka kulala chini ujueMbona kama alishakilalia jamanii..... Sio kwamba anataka kununaa kile cha mbili kwa sita....
Inabidi atulie tuu sasaaa.... Hilo ni pigooYani ushimen ana hali mbaya sahizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usinivunje mbavu bwana nishachoka kucheka anatafuta pes kwa stail ya kizamaniKweli dada akee otieno anaishi kwa room moja huko ujue nawaza tu mods wanajuaje mpaka kuunganisha id
Tena kigogo siyo masaki tenaKweli dada akee otieno anaishi kwa room moja huko ujue nawaza tu mods wanajuaje mpaka kuunganisha id
Yaan mmhJf kibokoooo
Yule mtu hapana jamanHahaaaaa alijua kujibaraguza
Naipenda sanaJF kuna vituko sana,yani muuza kitanda anajifanya mtoto wa mboga saba.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ubinadamu n kazi du
NimeshaionaIpo page za nyuma kidogo
MfyuuuuuuItabidi niwe makini na jinsia yangu aisee
Ulienda pm kwake mkuuMrembo swahiba92 hana neno!
DJ sepetu
OkeyNimeshaiona