Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Mkuu hujatukanwa ila nimeona post ukiwa unamtukanaMi nimetukanwa?? nani kanitukana nimroge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hujatukanwa ila nimeona post ukiwa unamtukanaMi nimetukanwa?? nani kanitukana nimroge?
Mimi alipokuja na uzi wake wa ubosslady nilimpinga palepale, nilimwambi sio mgeni humu jf na anachokitafuta atakipata, hopely alishakipataNilipiga mistari ya kiutu uzima,si unajua tena swahiba waswahili wanasema mtaka cha uvunguni sharti ainame!
Hapana asee... mi na Otieno hatuwezi pikika chungu kimoja...
![]()
Sema ukweliii babu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana asee... mi na Otieno hatuwezi pikika chungu kimoja...
![]()
Khaaah! Humu watu kama mashushushu vile[emoji28] [emoji125]Ni kwamba Mrembo sorry bwana husnaThebosslady Jana usiku alikuwa akiwatukana joseverest Na mm
Alisema jose ndie smart911 yule Wa mahondaw Na akasema yupo tayari kumpa papuchi jose kama atataka werevaa
Pia akadai muosha rungu ndiye shunie!
Basi huo Uzi ukaendelea hadi saa moja hivi asubuhi
Mara paap ikajulikana erick otieno ndiye husna Na zote ni id zake
Mods wameunganisha ids zake Na kuwa erick otieno pia kapigwa ban
Ndiyo maana unaona humu posts za husna zinasoma erick etieno!
DJ sepetu
Wale walikuwa wanatengeneza kiki ....Aspirin usiwaroge ka wale jamaa walioiba gari mombasa[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Yaaah likuwa planned kuanzia kwa mama mwenye gari mpka wale waliojifanya majizi ....na mganga waoKumbe!
DJ sepetu
Mganga kwanza jinga lileWewe una akili sana mkuu
Nilijiuliza ule uchiz Wa kuvua nguo hata kuvunja kakioo ka gari hamna!
DJ sepetu
OLE WAKE AJICHANGANYE TENAHawezi aisee. Ila kwa kuwa kufungua new id ni kitendo cha muda mfupi atakuja na id mpya.
Kamkoseaaa shunie wangu jamaaniNi kwamba Mrembo sorry bwana husnaThebosslady Jana usiku alikuwa akiwatukana joseverest Na mm
Alisema jose ndie smart911 yule Wa mahondaw Na akasema yupo tayari kumpa papuchi jose kama atataka werevaa
Pia akadai muosha rungu ndiye shunie!
Basi huo Uzi ukaendelea hadi saa moja hivi asubuhi
Mara paap ikajulikana erick otieno ndiye husna Na zote ni id zake
Mods wameunganisha ids zake Na kuwa erick otieno pia kapigwa ban
Ndiyo maana unaona humu posts za husna zinasoma erick etieno!
DJ sepetu
Ntamuandama balaaUtamfanya nn!
DJ sepetu
Ata sijuii mkuruuKwani thamani ya ndinga kiasi gan
DJ sepetu