HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Nilipiga mistari ya kiutu uzima,si unajua tena swahiba waswahili wanasema mtaka cha uvunguni sharti ainame!
Mimi alipokuja na uzi wake wa ubosslady nilimpinga palepale, nilimwambi sio mgeni humu jf na anachokitafuta atakipata, hopely alishakipata
Hapana asee... mi na Otieno hatuwezi pikika chungu kimoja...

c2162739d68b94ba3be2284af5c8feb3.jpg
 
Ni kwamba Mrembo sorry bwana husnaThebosslady Jana usiku alikuwa akiwatukana joseverest Na mm
Alisema jose ndie smart911 yule Wa mahondaw Na akasema yupo tayari kumpa papuchi jose kama atataka werevaa
Pia akadai muosha rungu ndiye shunie!
Basi huo Uzi ukaendelea hadi saa moja hivi asubuhi
Mara paap ikajulikana erick otieno ndiye husna Na zote ni id zake

Mods wameunganisha ids zake Na kuwa erick otieno pia kapigwa ban
Ndiyo maana unaona humu posts za husna zinasoma erick etieno!

DJ sepetu
Khaaah! Humu watu kama mashushushu vile[emoji28] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwamba Mrembo sorry bwana husnaThebosslady Jana usiku alikuwa akiwatukana joseverest Na mm
Alisema jose ndie smart911 yule Wa mahondaw Na akasema yupo tayari kumpa papuchi jose kama atataka werevaa
Pia akadai muosha rungu ndiye shunie!
Basi huo Uzi ukaendelea hadi saa moja hivi asubuhi
Mara paap ikajulikana erick otieno ndiye husna Na zote ni id zake

Mods wameunganisha ids zake Na kuwa erick otieno pia kapigwa ban
Ndiyo maana unaona humu posts za husna zinasoma erick etieno!

DJ sepetu
Kamkoseaaa shunie wangu jamaani

Shunie ndo wa kufananishwa na wewe

Hii ndo kua uyaonee...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom