HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
dah muosha rungu nashukuru kuniambia ila best hiz pgs nyingi sana sijui umeniitia wapi !siwez kuperuz pgs nyingi namna hii !mie nyuzi za namna hii huwa sina sana mzuka nazo ! niambie ni comment namba ngap au pg gan mkuu !nimechoka balaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cc shunie emmyta linamo sakayo njoon muone watu wanavyofunguka huku
Hahaha
Bado wengine.... Walikuwa weeengi
 
Hahahaha jf imekua kama fb!


Mtu una 'networth' ya 5 bil ila benki pia una 5 bil??? Na bado unaendesha Noah?! Really dude?
 
Mbiti njoo

DJ sepetu


Duh ! we Mondray ni vigezo gan vinakufanya unione mie men? jaman mie narudia kwa mara ya mwisho !

kuna kipindi huyu @jordipola sijui alinifata pm paap ! akaniambia ninakupenda !sikumjibu akawa km anakimbizwa vile imagne ndan ya dk 10 akawa amenitumia picha ya dick ! nilikasirika ! nikamwambia sitak upupu huo !

sikuwa na moody hata ya kumukana ! baada ya week 2 nikamua kuchange jina !jina lilikua open sana nikaona isiwe tabu nilipobadili kwa makusud kupunguza speed za pm nikaweka status 'MALE' na hii akaja tena oh kumbe wewe men !nikamwabia NDIO ! ndo ghafla akaanzisha uzi oh mie men ! na kweli nikasema mie men ukome kushobokea vya kushobokea !

kwanza naona natumia energy nyiiingi kujisafisha sn ninachopoteza humu jamen !nipo kurefresh mind tu kwakweli !nijifiche jinsia iliniweje !bas kazi mnayo ! jaman uzi za umbea umbea mie jaman huwa sizipend jaman !sijui nipoje labda ndo maana mnanihis ni male kweli !sipend majungu na umbea mwepesi mwepesi nipo hvyo toka kuzaliwa ! siku nitakutana na demi na Neybright! huends watakuja kueleza ukweli! heheheh mbombo jilipo hivi nyie watu hamjui hata arts tu za ke/me?? duh mbn arts zangu mie ni za kike sana tu ! sina hata chembe2 za uanamume mnikome !

nimeolewa 2012,nina watoto 2 boys ! na ni mwanamke TIMAMU ! sina haja sana ya kuweka picha hapa ila walionazo wananijua ingawa hatujawah onana! na mwanzon nilikua najiweka sana kwa avatar na ninjiweka sana tu jamen !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom