HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Duh ! we Mondray ni vigezo gan vinakufanya unione mie men? jaman mie narudia kwa mara ya mwisho !

kuna kipindi huyu @jordipola sijui alinifata pm paap ! akaniambia ninakupenda !sikumjibu akawa km anakimbizwa vile imagne ndan ya dk 10 akawa amenitumia picha ya dick ! nilikasirika ! nikamwambia sitak upupu huo !

sikuwa na moody hata ya kumukana ! baada ya week 2 nikamua kuchange jina !jina lilikua open sana nikaona isiwe tabu nilipobadili kwa makusud kupunguza speed za pm nikaweka status 'MALE' na hii akaja tena oh kumbe wewe men !nikamwabia NDIO ! ndo ghafla akaanzisha uzi oh mie men ! na kweli nikasema mie men ukome kushobokea vya kushobokea !

kwanza naona natumia energy nyiiingi kujisafisha sn ninachopoteza humu jamen !nipo kurefresh mind tu kwakweli !nijifiche jinsia iliniweje !bas kazi mnayo ! jaman uzi za umbea umbea mie jaman huwa sizipend jaman !sijui nipoje labda ndo maana mnanihis ni male kweli !sipend majungu na umbea mwepesi mwepesi nipo hvyo toka kuzaliwa ! siku nitakutana na demi na Neybright! huends watakuja kueleza ukweli! heheheh mbiombio jilipo hivi nyie watu hamjui hata arts tu za ke/me?? duh mbn arts zangu mie ni za kike sana tu ! sina hata chembe2 za uanamume mnikome !

nimeolewa 2012,nina watoto 2 boys ! na ni mwanamke TIMAMU ! sina haja sana ya kuweka picha hapa ila walionazo wananijua ingawa hatujawah onana! na mwanzon nilikua najiweka sana kwa avatar na ninjiweka sana tu jamen !
Mwenye kusikia amesikia mama!

DJ sepetu
 
Duh ! we Mondray ni vigezo gan vinakufanya unione mie men? jaman mie narudia kwa mara ya mwisho !

kuna kipindi huyu @jordipola sijui alinifata pm paap ! akaniambia ninakupenda !sikumjibu akawa km anakimbizwa vile imagne ndan ya dk 10 akawa amenitumia picha ya dick ! nilikasirika ! nikamwambia sitak upupu huo !

sikuwa na moody hata ya kumukana ! baada ya week 2 nikamua kuchange jina !jina lilikua open sana nikaona isiwe tabu nilipobadili kwa makusud kupunguza speed za pm nikaweka status 'MALE' na hii akaja tena oh kumbe wewe men !nikamwabia NDIO ! ndo ghafla akaanzisha uzi oh mie men ! na kweli nikasema mie men ukome kushobokea vya kushobokea !

kwanza naona natumia energy nyiiingi kujisafisha sn ninachopoteza humu jamen !nipo kurefresh mind tu kwakweli !nijifiche jinsia iliniweje !bas kazi mnayo ! jaman uzi za umbea umbea mie jaman huwa sizipend jaman !sijui nipoje labda ndo maana mnanihis ni male kweli !sipend majungu na umbea mwepesi mwepesi nipo hvyo toka kuzaliwa ! siku nitakutana na demi na Neybright! huends watakuja kueleza ukweli! heheheh mbombo jilipo hivi nyie watu hamjui hata arts tu za ke/me?? duh mbn arts zangu mie ni za kike sana tu ! sina hata chembe2 za uanamume mnikome !

nimeolewa 2012,nina watoto 2 boys ! na ni mwanamke TIMAMU ! sina haja sana ya kuweka picha hapa ila walionazo wananijua ingawa hatujawah onana! na mwanzon nilikua najiweka sana kwa avatar na ninjiweka sana tu jamen !
Ujue tumeshangaa sana mondray na youngblood walisema hivyo tunawaambia mwanamke wanakataa
 
Mwenye kusikia amesikia mama!

DJ sepetu

na kuongezea kuna siku huyu Eli79 alianzisha uzi wa kuongelea ni tabia gan umeingia kwenye ndoa unazo ! mle pia nilijieleza kahistry fulan mie ni mtu wa revenge (malezi) nikaeleza mie ni twin lakini twin wangu alifariki alikua 'me' na nikaeleza y huwa nataka revenge kwasabb ya kifo cha twin wangu jamen hebu jadilini mambo ya msingi ! we @Mondray,Youngblood mnitue ! tena hakuna jinsia ambayo naipenda km ke aisee !mtelezo tu !
 
Labda uweke Picha ili wakukome

DJ sepetu
 
SAWA MAYO WANE nimekusikia
na kuongezea kuna siku huyu Eli79 alianzisha uzi wa kuongelea ni tabia gan umeingia kwenye ndoa unazo ! mle pia nilijieleza kahistry fulan mie ni mtu wa revenge (malezi) nikaeleza mie ni twin lakini twin wangu alifariki alikua 'me' na nikaeleza y huwa nataka revenge kwasabb ya kifo cha twin wangu jamen hebu jadilini mambo ya msingi ! we @Mondray,Youngblood mnitue ! tena hakuna jinsia ambayo naipenda km ke aisee !mtelezo tu !
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani wewee

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani kama nimekukwaza.... Jamaa limeniudhi sana bhana...

Khaaa!!
 
na kuongezea kuna siku huyu Eli79 alianzisha uzi wa kuongelea ni tabia gan umeingia kwenye ndoa unazo ! mle pia nilijieleza kahistry fulan mie ni mtu wa revenge (malezi) nikaeleza mie ni twin lakini twin wangu alifariki alikua 'me' na nikaeleza y huwa nataka revenge kwasabb ya kifo cha twin wangu jamen hebu jadilini mambo ya msingi ! we @Mondray,Youngblood mnitue ! tena hakuna jinsia ambayo naipenda km ke aisee !mtelezo tu !
Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo...

Bora niendelee kugonga nyagi zangu tu... hii dunia inaelekea ukingoni sasa....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom