HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Nilisemaga mimi huyu tangu anathread ya kukaribishwa humu sio mwanamke ni dume.. haya sasa kaumbuka
richaabra alikuambia anakupenda kiasi cha kukulilia wakt haupo Na kukuandikia Uzi sijui unamsimamo upi

DJ sepetu
 
Kuna kitu nimejifunza kwa Eric Otieno

1). Humu wanawake hatuzidi watatu

2) . Most of people here na choka mbaya, japo pia kuna wasomi ila ndo chapa ilale, hakuna kitu ptuuuuu!

3). Wanaume wengi wa Jf wamelizwa visenti vyao na machoko/ mabwabwa wakidhani ni wadada..

Mwisho wanaume mna siri nzito vifuani mwenu na mnakutana na mambo mazito mnoo ( siwezi kuyasema hadharani)

Kwaherini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wapo wengi tu ila ukiona id inajichetua kuliko kawaida huyo ni me.
....Wengi ni choka mbaya humu ila kwa kificho cha id zao wanajikweza kujiona wapo juu wakati mwingine kuzihaki wengine.
......Wanaume ni wachache sana ila wavulana ni wengiiiiii na ndio wafanyafujo, watukanaji na washenzi walioshindikana.
 
Jf kila mtu ana Gari nzuri ( hakuna Mwenye spacio[emoji23] [emoji23] ), Nyumba Kali, mabiashara ya maana!

Wote wameenda ulaya eidha kusafiri kibiashara au kutembea!

Mtu unaeza jiona una nuksi!...yaaaani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaaan mwanaume ni kiumbe wa ajabu mnoo!

Anatongoza mwandiko[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani katika viumbe wa ajabu wa kwanza ni mwanaume[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Anatongoza na kuhonga ID na picha za mitandaoni huwa hawajiulizi yani mtu serious anaweza weka picha zake humu[emoji23] [emoji23]
Acha wapambane na hali zao maana wameyataka
 
Halafu hawajifunzi sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom