Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

Kimey umekimbilia wapi bana? kuna mtu naona hapa chini inasoma nasikia iko moro bana we ushawahi mwona? (next level)
 
So Do I! Hakyanani tena!!!!!![/QUOTE
Mh!!!!!!!!

Si umenitosa?
hamna mimi na wewe kila kitu kitaenda sawa kuanzia sasa

Niko fresh sasa, poa nitakutumia
poa haina shida

Kwahiyo hutapikii makalioni tena?
babu huishiwi vituko? ndio maana bibi anazidi kuwa kijana naona kila siku ye anafurahi tu na majibu yako

Itabidi jopo lishauriane kuhusu hili....
umeanza lini hii tabia?
 
Back
Top Bottom