Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

Kuna kakitu kananifanya nisome kati ya kila kitu....ila sio mimi..
Itabidi tukutane kama babu alivyosema tujadili hii haiwezekani ID mpya then inawajua wapwa mpaka ukaguzi...
 
Nikiwa kama stelingi mkuu katika muvi ya kihindi....
Nasema hii thread iishe.
 
Nikiwa kama stelingi mkuu katika muvi ya kihindi....
Nasema hii thread iishe.

images
 
Orait....kwahiyo sasa inamaanisha ameshafika huko au???
@The Finest....pole sana my dear! ddnt know u were sick....
 
Mbna hujanieleza waja fanya nin huku mana cjaelewa wataka kulipua bunge, au unakuja kununua nyama kama ndugu wachangiaji wanavokuagiza!
 
Kwako Husninyo,, umeugusa mtima wangu...nimehakikisha napata katrip ka kuja Idodomya, walau nikwepe kero

kazi yangu mimi ni moja tu, umenigusa nikagusika naomba unikirimu nitakapofika huko hiyo kesho, nimeona umeshakuwa mwenyeji kidogo sasa! Nitapenda tukae sehemu tulivu, unielezee yaliyojiri huko.
Mdhamini Bifirita atakuja baada ya hapo kufanya tathmini ya ziara yangu

Mhesshimiwa sana Ivuga nitarudi na mafotoz yenye taswira za huku., ila za Husninyo sitakukabidhi hata kidogo,

Mpenzi wangu Nyamayo, nivumilie nitarudi mara na mihogo,
MJ1 Love, Nitarudi na Yolanda yako ulontuma,
Smiles, I will be back with lots of them smiles, and a lot more, bear with me

Dena Amsi na AD.....poleni kwa yalowakuta, nitarudi na ushauri murua kutoka kwa Husninyo (namwaminia kwa hilo)

Kwa sasa ombi langu ni moja tu kwako Husna, nipokee tafadhali....nitaingia kwa tukutuku mida ya saa kumi jioni....asante kwa kunisikiliza....:hug::hug:

Karibu sana, ila naomba kujua jinsia yako...mmmh!
Nahisi wewe ni kidume.. Uangalie lakini isije ikawa mimi mwanao. Maana jf bwana. Unaweza ukashangaa baba na mwana wanachati tena darling, hny mpenz kwa wingi. Lol!

Naona mwili umekufa ganzi.... sijielewiii mimi.... OMG!!!.... Why me??????????? Nifanye nini mimi??? Dah!!! Husninyo huyu huyu anaekujaga

home?? Dah!!! ..... jamaaaani.... nimlilie nani mimi??? Yaaaaaani KAIZER ndio hivi kweli??? Naona weeee sio Sweeetie wangu tena.... I can't take it....
 
Babu Asprin asante kwa kukumbushia safari.... Dah!... AshaDii is Dead and Gone!!! Sijui niifanye nini hii :mimba:????? Dah! Whoooow!!!
Dada kuna siku nilikuonya kuhusu huyu mtu!
 
Naona mwili umekufa ganzi.... sijielewiii mimi.... OMG!!!.... Why me??????????? Nifanye nini mimi??? Dah!!! Husninyo huyu huyu anaekujaga

home?? Dah!!! ..... jamaaaani.... nimlilie nani mimi??? Yaaaaaani KAIZER ndio hivi kweli??? Naona weeee sio Sweeetie wangu tena.... I can't take it....

AshaDii Love, thats not it....please see the forest and not the trees, of which I know you are good at.

Love you sweetie, I just had that trip and I thought networking is important. so cool down nothing serious baby
 
Kaizer Sweetie... naona leo uniache nipumzike... we will talk tomorrow for i am not in my right mind now.... nisije sema nitacho regret.....
 
Back
Top Bottom