Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Itabidi tukutane kama babu alivyosema tujadili hii haiwezekani ID mpya then inawajua wapwa mpaka ukaguzi...Kuna kakitu kananifanya nisome kati ya kila kitu....ila sio mimi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itabidi tukutane kama babu alivyosema tujadili hii haiwezekani ID mpya then inawajua wapwa mpaka ukaguzi...Kuna kakitu kananifanya nisome kati ya kila kitu....ila sio mimi..
Nikiwa kama stelingi mkuu katika muvi ya kihindi....
Nasema hii thread iishe.
Stelingi wa kiindi anafufuka bana..Nikiwa kama stelingi mkuu katika muvi ya kihindi....
Nasema hii thread iishe.
chief mbona unaniharibia jamaniiii!!
Siamini umenitupa kiivyo...Orait....kwahiyo sasa inamaanisha ameshafika huko au???
@The Finest....pole sana my dear! ddnt know u were sick....
what...LOL did u get my invite?
Kwako Husninyo,, umeugusa mtima wangu...nimehakikisha napata katrip ka kuja Idodomya, walau nikwepe kero
kazi yangu mimi ni moja tu, umenigusa nikagusika naomba unikirimu nitakapofika huko hiyo kesho, nimeona umeshakuwa mwenyeji kidogo sasa! Nitapenda tukae sehemu tulivu, unielezee yaliyojiri huko.
Mdhamini Bifirita atakuja baada ya hapo kufanya tathmini ya ziara yangu
Mhesshimiwa sana Ivuga nitarudi na mafotoz yenye taswira za huku., ila za Husninyo sitakukabidhi hata kidogo,
Mpenzi wangu Nyamayo, nivumilie nitarudi mara na mihogo,
MJ1 Love, Nitarudi na Yolanda yako ulontuma,
Smiles, I will be back with lots of them smiles, and a lot more, bear with me
Dena Amsi na AD.....poleni kwa yalowakuta, nitarudi na ushauri murua kutoka kwa Husninyo (namwaminia kwa hilo)
Kwa sasa ombi langu ni moja tu kwako Husna, nipokee tafadhali....nitaingia kwa tukutuku mida ya saa kumi jioni....asante kwa kunisikiliza....:hug::hug:
Karibu sana, ila naomba kujua jinsia yako...mmmh!
Nahisi wewe ni kidume.. Uangalie lakini isije ikawa mimi mwanao. Maana jf bwana. Unaweza ukashangaa baba na mwana wanachati tena darling, hny mpenz kwa wingi. Lol!
Hommie ushafika kwa Husninyo?
Dada kuna siku nilikuonya kuhusu huyu mtu!Babu Asprin asante kwa kukumbushia safari.... Dah!... AshaDii is Dead and Gone!!! Sijui niifanye nini hii :mimba:????? Dah! Whoooow!!!
Dada kuna siku nilikuonya kuhusu huyu mtu!
Pole sana dada,usijali ndo maisha hayo,jikaze!yaaaani kaka macho yamenivimba hapa.... sitaki kulia lakini machozi yamiminika........ mweeeeeh!
Naona mwili umekufa ganzi.... sijielewiii mimi.... OMG!!!.... Why me??????????? Nifanye nini mimi??? Dah!!! Husninyo huyu huyu anaekujaga
home?? Dah!!! ..... jamaaaani.... nimlilie nani mimi??? Yaaaaaani KAIZER ndio hivi kweli??? Naona weeee sio Sweeetie wangu tena.... I can't take it....
AshaDii Love, thats not it....please see the forest and not the trees, of which I know you are good at.
Love you sweetie, I just had that trip and I thought networking is important. so cool down nothing serious baby
Hashycool teh teh teh! Unanifurahisha! Hiyo picha ipo poua!