Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

Huku kwema kabisa baada ya kudondoka niliangukia mapapai yalke mabichi so sikuumia sana
 
Naomba kwa hisani ya Marekani sasa uwe mmoja wa kunisaidia kutafuta maana nazunguka kama pia hapa halafu sioni wa kufaa

Haya mambo hutumiii nguvu bana... taraaaatibu... warembo wooote hawa JF??
wengine ooh am btn 25 and 30 natafuta mchumba...lol... naona uanzie love connect...
 
Haya mambo hutumiii nguvu bana... taraaaatibu... warembo wooote hawa JF??
wengine ooh am btn 25 and 30 natafuta mchumba...lol... naona uanzie love connect...

Niandike kile cha "Am handsome meeen" nitafanikiwa au nitapewa za uso
 
Niandike kile cha "Am handsome meeen" nitafanikiwa au nitapewa za uso

hahah hvi yulwkijana alikuwa annajinadi wa UDOM, kaishia wapi aisee lol

usiende ivo bana utaleta shida sana hapa
 
Aisee hii jukwaa sikuizi ishakua Mapenzi, Mahusiano na Ukabaila
 
Ohhhhh nimekupata
Hizo za uso sizitaki bana bora nitumie usaint kayumba wangu nitumie lugha tuu ya taifa watanielewa na kuwa ni standard seven ya zamani so nikiboronga hata kiswahili na kuwaambia nakupenda hata silali usiku nakuota watanielewa

No usitumie vigezo lugha... ukikutana na mwanamke anataka kuongea nawewe
kiingereza hali umemsalimia kwa kiswahili... jipange mrudishe kwenye kiswahili kwa
kumwambia sio kwamba hujui kiingereza but unathamini lugha yenu...

Mbona mimi na Sweetie tumetoka dates kama mbili woote tusijue tunajua ung'eng'e...lol
Wacha ifuate mkondo nimesema fanya taratibu... no papara...
 
hahah hvi yulwkijana alikuwa annajinadi wa UDOM, kaishia wapi aisee lol

usiende ivo bana utaleta shida sana hapa

Mkuu Kaiser alipewa za uso huku anakuona kuchungu
na kuna mwingine anaitwa cabaiser nae amesoma kuala lumper malyesia nae ni handsome meen
 
No usitumie vigezo lugha... ukikutana na mwanamke anataka kuongea nawewe
kiingereza hali umemsalimia kwa kiswahili... jipange mrudishe kwenye kiswahili kwa
kumwambia sio kwamba hujui kiingereza but unathamini lugha yenu...

Mbona mimi na Sweetie tumetoka dates kama mbili woote tusijue tunajua ung'eng'e...lol
Wacha ifuate mkondo nimesema fanya taratibu... no papara...

Ok ok sweet honey oooooppsss sorry
taratibu naanza kutangaza sera mwenye kuhitaji ajitokeze nafasi iko wazi
 
Karibu sana, ila naomba kujua jinsia yako...mmmh!
Nahisi wewe ni kidume.. Uangalie lakini isije ikawa mimi mwanao. Maana jf bwana. Unaweza ukashangaa baba na mwana wanachati tena darling, hny mpenz kwa wingi. Lol!
iyo kweli,kuepusha ilo,mm niko dom kama vipi fanyampango niku PM then uyojamaa akifika nampokea mm,alafu namsogeza kwako kulingana na character utakozo itaji
 
kaiser mbona kama umeniidhinisha kuwa nae hapo maana umeandika AshaDii Rocky

hahaha itakuwa unasoma kama mtoto wa darasa la kwanza...na hapo usiniangushe kwa elimu yako u have to be better lol
 
iyo kweli,kuepusha ilo,mm niko dom kama vipi fanyampango niku PM then uyojamaa akifika nampokea mm,alafu namsogeza kwako kulingana na character utakozo itaji

hhahahaha umekuwa dalali?
 
hahaha itakuwa unasoma kama mtoto wa darasa la kwanza...na hapo usiniangushe kwa elimu yako u have to be better lol

Kaiser am better than that it is just a joke as i know u hold and touch her heart and no one will dare doing anything to her
Hapo napima kama naweza kukunyang'anya
 
Back
Top Bottom