Hussein Bashe amechoka Uwaziri na kuamua kumchafua Rais Samia kwa Watanzania?

Hakuna kitu kama hicho, kwahiyo Bashe siyo msomali?
Ni mtanzania mwenye asili ya Usomali,
NI Mtanznaia mwenye asili ya kiarabu,
Ni mtanzania mwenye asili ya kizungu
Ni Mtanznaia mwenye asili ya mkoa wa kilimanjaro,
Ni mtanzania mwenye asili ya Unguja
Ni Mtanznaia mwenye asili ya umakonde!!, kusini mwa Tanganyika.
 
Umesema vizuri sana na mimi kama ningekua nina react kwenye uzi huu ningesema exactly kama ulivyosema. Ila tunatofautina sehemu moja tu kwenye andiko lako ni pale ulipotumia neno kamchafua aliyemteua. Hapo hapana kajichafua yeye, sasa inatakiwa aliyemteua achukue hatua. Serikali iko chini yake, chochote kinachotokea sisi tunajua yeye anataarifa na amehafiki kitokee na kama hakubaliani na kilichotokea ina maana ametofautiana na aliyemchagua. Kinachotakiwa ni kumuondoa immediately, hiyo ndiyo serikali tuliyokuwa tunaitegemea. Kinyume cha hapo sisi wananchi tunaconclude huo ndio msimamo wa serikali na huo ndio msimamo wa mkuu aliyemchangua.Period. Ifike mahali kwenye ubaya tuhusemem wote, tusisime nususu huku kwingine tunaweka kitambaa. That is the definition of naked truth.
 
Huyu Woria ni jeuri sana na anajiskia sana hastahili wala kuwa katika nafasi hiyo ni basi tu
Yaani wabongo hatuna jema, kila waziri hafai ata tukipewa nafasi ya kupendekeza mawaziri tunaowataka ndio wakateuliwa, baada ya mwezi tutarudi tena na kusema hawafai, kila siku lawama,lawama,lawama sijui ni wivu
 
mahukiwa namba moja wa vibari ni mtoto wa rais na waziri wa kilimo akatoa statement ngumu kwa nchi afu rudi kwa ngorongoro kuondolewa huduma muhimu ni akili ndogo sana kutambua kwa kunganisha dots
 
Nenda Somalia kama utakuwa hata VEO
 
Mmmh!
Labda ! Lakini wapiii !
Hakuna kitu kama hicho pale !
 
Nil
Usomali
Uarabu
Ubulushi
Uzungu
Ubuntu
Hawa wote ni watanzania halisi pengine kuliko wewe.
iwahi kusikia kwamba Eti na Wachaga Asili yao ni kutoka Ethiopia πŸ‡ͺπŸ‡Ή πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜†
Ni kweli au sio kweli ???!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…