Hussein Bashe amechoka Uwaziri na kuamua kumchafua Rais Samia kwa Watanzania?

Ndugu zangu Watanzania,

Nimesikitika sana ,kusononeka sana,kushangazwa sana,kuumia sana ,kutoamini macho na masikio yangu kwa kile nilichokiona na kusikia maneno na kauli za waziri wa kilimo Mheshimiwa ...
Ushaanza kutia akili eenh, na huo ndio uuungwana Luca sisi tuliyaona hayo siku nyingi ,nikuambie tu kuwa mkweli haimaanishi wewe ni MPINZANI kipondi tunampigia kelele huyu Bashe tulikua tushayaona mkawa mnatetea weeeh sasa ngoja nikwambie kitu na kikuingie SSH hana shida kihivyo ila washauri wake na watu waliomzunguka wengi ndio wanamuharibia aonekane hafai ,angalia mambo yanavyokwenda utanielewa
 
Mimi naamini Hiyo ni kauli ya mtu mmoja na siyo ya serikali nzima na wala siyo msimamo wa Mheshimiwa Rais.
Kampaka matope mama Kizimkazi itaonekana kumbe ukileta hoja zako utanyimwa maendeleo , ina maana Bashe angekua waziri wa afya angesema sileti dawa mjifie ? Angekua waziri wa ulinzi angesema natoa vyombo vyote vya ulinzi na usalama muuwane huko
 
 

Attachments

  • VID-20240912-WA0032.mp4
    5.2 MB
BASHE AJIFUNZE KUTENGANISHA BUFF BINAFSI, KUZIHUSISHA NA WANANCHI, ENDAPO KAMA MBUNGE UNA BIFF NAYE, FANYA UTENDAJI KUPITIA NGAZI ZINGINE ALIMRADI WANANCHI HAWATAABIKI.
Umenena kweli kabisa na nakuunga mkono kwa maneno yako haya ya hekima na busara kubwa sana.Embu fanya utafute jimbo mwakani.
 
Jimbo la kisesa 2025 , kura za urais nipeni Mimi.
Majibu ya yule bibi Bashe ameshawapa.
 
Lucas Hebel Mwashambwa, kumbe Kuna siku ukiamka unatoaga mada ya msingi!
Ila nikuambie ukweli yule bibi hatoshi,labda apewe ukuu wa wilaya.

Ninashangaa,anawapangia wengine yeye hajipi wilaya
 
Lucas Hebel Mwashambwa, kumbe Kuna siku ukiamka unatoaga mada ya msingi!
Ila nikuambie ukweli yule bibi hatoshi,labda apewe ukuu wa wilaya.

Ninashangaa,anawapangia wengine yeye hajipi wilaya
Kwa sasa Afrika ingekuwa ni Nchi moja, basi mtu pekee Mwenye uwezo wa kuifanya Afrika ikawa kama ulaya na kuwafanya wazungu kuja kuomba kazi na kutafuta maisha barani Afrika angekuwa ni Mmoja tu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka ,jasiri muongoza njia na nuru ya wanyonge.kwa hakika maendeleo ya Bara la Afrika yangepaa kwa kasi kama ndege vita .kama ilivyo kwa sasa hapa nchni ambapo tunashuhudia miradi mbalimbali ya maendeleo ikijengwa kila sehemu.
 
Ila ma ccm bana. Mungu huwa fundi sana ni basi tu binadamu tumeumbwa kusahau, hivi sio nyie enzi ya jiwe ndio mlikuwa mnafurahia jamaa alipokuwa hapeleki maendeleo kwenye majimbo yenye wabunge wapinzani? Hayo machozi unayobunujikwa sasa hivi mbona hukububujikwa kiwahurumia watanzania wale walionyimwa haki zao sababu ya ujinga wa itikadi?
 
Wewe mwenyewe kuna siku utaropoka tuu...
Tulishawaambia.. maovu yenu mtayasema wenyewe na mtajishangaa wenyewe.
Hamfai kwa lolote.
 
Yeye ameleta maamuzi ya Baraza la Mawaziri ambalo Mwenyekiti wake ni Rais Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…