Hussein Bashe amechoka Uwaziri na kuamua kumchafua Rais Samia kwa Watanzania?

Ni majinga
 
Hakuna jimbo ambalo halikupelekwa maendeleo ndugu yangu mtanzania.hata pesa za mfuko wa jimbo wabunge wa upinzani walipewa vizuri kabisa bila ubaguzi.
 
😅😅😅😅😅😅🤗🤗🤗🤗Relax, endelea kusifia.
 
Ukitaka mambo ya kilimo yaende vizuri mpe Msomali wizara
 
Ni kweli,kuwauzia na kuwapa raslimali bure
 
Kwa mara ya kwanza naomba nikupongeze kwa kuandika na kujenga hoja kwa uweledi wa hali ya juu.
Mimi ni mwana CCM, napenda ukweli na fitina kwangu ni mwiko.
Waziri Bashe amenyesha upeo mdogo sana ktk Uongozi.
Kwa kauli yake hiyo alipaswa tayari awe ameshajiuzuru.
 
Mbinu hizo za kufutilia mbali ishu za kifo cha Mzee kibao na teuzi zinafuata mwezi hauishi huu
 
Upo sahihi kabisa.ilitakiwa awe ameandika barua ya kujiuzulu na kuomba radhi kwa watanzania.
 
Mbona huseminkuabatakwenda kuwauliza wananchi wa kisesa kama wamemtuma hsayo Mbunge wao?
 
Mbona (huseminkuabatakwenda)kuwauliza wananchi wa kisesa kama wamemtuma hsayo Mbunge wao?
naomba uyaweke na kuyaandika vizuri maneno hapo nilipoweka mabano ili yaeleweke na nikujibu kulingana na swali lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…