Hussein Bashe: Mkataba wa bandari Baraza la Mawaziri tuliusoma na kuuelewa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nimekusikia sasa hivi katika matokeo ya wiki ITV ukiwa Mwanza unaongea na wakulima kuwa kuna watu Kule Kagera walisema Baraza la Mawaziri hatujausoma mkataba. Ukasema ni waongo tuliusoma, tukauelewa vizuri.
Kama mliusoma mkaupitisha, basi akili zenu ni MATOPE.

Hatuna nchi nyingine ya kwenda Watanganyika, wewe unaweza kurudi Somalia!
 
Bashe alikua mtumishi wa Rostam
 
Waliuelewa ndio, lkn kwa Kiwango chao. Baraza litakuwa halina viwango vya Prof. Shivji, Dr. Rugemeleza, Adv. Mwambukusi etc.

Ile kitu ya akili ndogo kuongoza kubwa
 
Baraza la wajinga! Baraza limejaa wajinga tupu, kwani kama liliusoma ndiyo ilikuwa nn?
 
... Bashe ame-reflect uhalisia wa wanasiasa wa nchi hii! Anadhani kuwa waziri ndio anakuwa na uelewa kuliko watanzania wengine wote.
exactly, mpuuzi mkubwa. Nape ni Div 4 pt 30
 
... nchi is composed of people of different diverisities. Decisions must consider mixed ideas rather than a certain group driving the whole country!
 
Nimekusikia sasa hivi katika matokeo ya wiki ITV ukiwa Mwanza unaongea na wakulima kuwa kuna wa Kule Kagera walisema Baraza la Mawaziri hatujausoma mkataba. Ukasema ni waongo tuliusoma, tukauelewa vizuri.
Kama mliusoma mkaupitisha, basi akili zenu ni MATOPE.
Hatuna nchi nyingine ya kwenda Watanganyika, wewe unaweza kurudi Somalia!
Nimekusikia sasa hivi katika matokeo ya wiki ITV ukiwa Mwanza unaongea na wakulima kuwa kuna watu Kule Kagera walisema Baraza la Mawaziri hatujausoma mkataba. Ukasema ni waongo tuliusoma, tukauelewa vizuri.
Kama mliusoma mkaupitisha, basi akili zenu ni MATOPE.
Hatuna nchi nyingine ya kwenda Watanganyika, wewe unaweza kurudi Somalia!
Walikuwa wanasoma huku wanaambiwa jambo la mama hili tusimwangushe.
 
Nimekusikia sasa hivi katika matokeo ya wiki ITV ukiwa Mwanza unaongea na wakulima kuwa kuna watu Kule Kagera walisema Baraza la Mawaziri hatujausoma mkataba. Ukasema ni waongo tuliusoma, tukauelewa vizuri.
Kama mliusoma mkaupitisha, basi akili zenu ni MATOPE.
Hatuna nchi nyingine ya kwenda Watanganyika, wewe unaweza kurudi Somalia!
Mkataba hauna tatizo kabisa, tena utekelezwe haraka!
 
... nchi is composed of people of different diverisities. Decisions must consider mixed ideas rather than a certain group driving the whole country!
You are right , but we need specialisation guided by intellect

Plaro's classification of children of the state of which I believe he was and still is right:
1. Gold boys: for those capable of ruling,
2. Silver boys for the guardians,...askari and the like
3. Iron and bronze boys for the farmers and craftsmen
.

Tunatawaliwa na kundi la tatu
 
Back
Top Bottom