Hata ukimtwanga Mpumbavu ndani ya kinu UPUMBAVU wake hautamtoka.Mithali 27:22
Nimecheka Sana!
Bashe alikua mtumishi wa RostamNimekusikia sasa hivi katika matokeo ya wiki ITV ukiwa Mwanza unaongea na wakulima kuwa kuna watu Kule Kagera walisema Baraza la Mawaziri hatujausoma mkataba. Ukasema ni waongo tuliusoma, tukauelewa vizuri.
Kama mliusoma mkaupitisha, basi akili zenu ni MATOPE.
Hatuna nchi nyingine ya kwenda Watanganyika, wewe unaweza kurudi Somalia!
Waliuelewa ndio, lkn kwa Kiwango chao. Baraza litakuwa halina viwango vya Prof. Shivji, Dr. Rugemeleza, Adv. Mwambukusi etc.Nimekusikia sasa hivi katika matokeo ya wiki ITV ukiwa Mwanza unaongea na wakulima kuwa kuna watu Kule Kagera walisema Baraza la Mawaziri hatujausoma mkataba. Ukasema ni waongo tuliusoma, tukauelewa vizuri.
Kama mliusoma mkaupitisha, basi akili zenu ni MATOPE.
Hatuna nchi nyingine ya kwenda Watanganyika, wewe unaweza kurudi Somalia!
exactly, mpuuzi mkubwa. Nape ni Div 4 pt 30... Bashe ame-reflect uhalisia wa wanasiasa wa nchi hii! Anadhani kuwa waziri ndio anakuwa na uelewa kuliko watanzania wengine wote.
Waliahirisha kufikiri. Herding behaviorJe Baraza la mawaziri lina uzalendo?
Je linaijua sheria vilivyo?
Atulie.
... nchi is composed of people of different diverisities. Decisions must consider mixed ideas rather than a certain group driving the whole country!exactly, mpuuzi mkubwa. Nape ni Div 4 pt 30
Nimekusikia sasa hivi katika matokeo ya wiki ITV ukiwa Mwanza unaongea na wakulima kuwa kuna wa Kule Kagera walisema Baraza la Mawaziri hatujausoma mkataba. Ukasema ni waongo tuliusoma, tukauelewa vizuri.
Kama mliusoma mkaupitisha, basi akili zenu ni MATOPE.
Hatuna nchi nyingine ya kwenda Watanganyika, wewe unaweza kurudi Somalia!
Walikuwa wanasoma huku wanaambiwa jambo la mama hili tusimwangushe.Nimekusikia sasa hivi katika matokeo ya wiki ITV ukiwa Mwanza unaongea na wakulima kuwa kuna watu Kule Kagera walisema Baraza la Mawaziri hatujausoma mkataba. Ukasema ni waongo tuliusoma, tukauelewa vizuri.
Kama mliusoma mkaupitisha, basi akili zenu ni MATOPE.
Hatuna nchi nyingine ya kwenda Watanganyika, wewe unaweza kurudi Somalia!
Mkataba hauna tatizo kabisa, tena utekelezwe haraka!Nimekusikia sasa hivi katika matokeo ya wiki ITV ukiwa Mwanza unaongea na wakulima kuwa kuna watu Kule Kagera walisema Baraza la Mawaziri hatujausoma mkataba. Ukasema ni waongo tuliusoma, tukauelewa vizuri.
Kama mliusoma mkaupitisha, basi akili zenu ni MATOPE.
Hatuna nchi nyingine ya kwenda Watanganyika, wewe unaweza kurudi Somalia!
definitelyWalikuwa wanasoma huku wanaambiwa jambo la mama hili tusimwangushe.
chizi kalogwa tenaMkataba hauna tatizo kabisa, tena utekelezwe haraka!
You are right , but we need specialisation guided by intellect... nchi is composed of people of different diverisities. Decisions must consider mixed ideas rather than a certain group driving the whole country!
Ni sawa na mbingu na ardhi.Kusoma, na kuelewa ulichosoma, ni vitu viwili tofauti.
Bado tu unajipendekeza? CCM imeshawakataan mbonaMkataba hauna tatizo kabisa, tena utekelezwe haraka!