Huyaa Dr
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 312
- 874
Kabisa namuonaga kama populist hakuna alichowahi kusema kikafanikiwa anzia BBT,ruzuku ya pembejeo na mboleaAngenyamaza tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa namuonaga kama populist hakuna alichowahi kusema kikafanikiwa anzia BBT,ruzuku ya pembejeo na mboleaAngenyamaza tu.
Watu gani?! Labda misukule, aliyeturoga sisi alishafariki zamani sana, na kaburi lake limepoteaIppo siku tu watu wataingia road na mapanga
😒Awamu ya inshallah
Upungufu wa sukari, upungufu wa umeme, upungufu wa...View attachment 2877600
Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo
Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa sukari nchini, Serikali imeeleza kuwa mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji wa miwa na hivyo kuathiri wa uchakataji na kupelekea uwepo wa upungufu wa sukari.
Akizungumza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kutokana na mvua hizo, kiwango cha miwa kinachovunwa kimeshuka kwa wastani wa asilimia 25 hali iliyoathiri shughuli za uzalishaji na kupelekea upungufu ulioleta athari kwenye soko.
“Mchakato wa uvunaji wa miwa huvunwa kwa mashine maalumu kutoka mashambani. Mvua zilivyokuwa nyingi zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji, na hivyo kuathiri mfumo mzima wa uchakataji kiwanda kama Kilombero ambacho kilikuwa na uwezo wa kuzalisha tani 700 kwa siku, sasa kinazalisha tani 250, Kagera Sugar kilikuwa na uwezo wa kuzalisha tani 500 kwa siku sasa kinazalisha wastani wa tani 200 mpaka 300,”
Kutokana na hali hiyo, Serikali imesema hatua ya kwanza iliyochukua ni kuruhusu uagizaji wa sukari wastani wa tani laki 1 ambao umepewa viwanda nchini pamoja na kuwaagiza wenye viwanda na wasambazaji kuhakikisha wanasimamia usambazaji bila kumuumiza mlaji.
Hebu msikilize hapa...Maji mengi sukari HAKUNA
Maji hakuna UMEME HAKUNA
MAJI YAPO VYOTE HAKUNA.
KIZIMKAZIameshindwa na wafanya bznes ndani ya Tanganyika.
Lakini mwisho w cku hana cha kupoteza si anunui sukari nyumbani.
Tutaanza kunywa chai mwezi machi CCM 1954-2024=70yearsView attachment 2877600
Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo
Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa sukari nchini, Serikali imeeleza kuwa mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji wa miwa na hivyo kuathiri wa uchakataji na kupelekea uwepo wa upungufu wa sukari.
Akizungumza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kutokana na mvua hizo, kiwango cha miwa kinachovunwa kimeshuka kwa wastani wa asilimia 25 hali iliyoathiri shughuli za uzalishaji na kupelekea upungufu ulioleta athari kwenye soko.
“Mchakato wa uvunaji wa miwa huvunwa kwa mashine maalumu kutoka mashambani. Mvua zilivyokuwa nyingi zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji, na hivyo kuathiri mfumo mzima wa uchakataji kiwanda kama Kilombero ambacho kilikuwa na uwezo wa kuzalisha tani 700 kwa siku, sasa kinazalisha tani 250, Kagera Sugar kilikuwa na uwezo wa kuzalisha tani 500 kwa siku sasa kinazalisha wastani wa tani 200 mpaka 300,”
Kutokana na hali hiyo, Serikali imesema hatua ya kwanza iliyochukua ni kuruhusu uagizaji wa sukari wastani wa tani laki 1 ambao umepewa viwanda nchini pamoja na kuwaagiza wenye viwanda na wasambazaji kuhakikisha wanasimamia usambazaji bila kumuumiza mlaji.
Bashe alikuta mbolea bei chini sana ila mwaka wake wa kwanza bei ikapanda mara mbili.Kabisa namuonaga kama populist hakuna alichowahi kusema kikafanikiwa anzia BBT,ruzuku ya pembejeo na mbolea
Ni mwendo wa kesho nayo ni siku inshallah kutakucha[emoji19]