Hussein Bashe: Upungufu wa sukari nchini utaisha mwezi Machi

Hussein Bashe: Upungufu wa sukari nchini utaisha mwezi Machi

Bashe alikuta mbolea bei chini sana ila mwaka wake wa kwanza bei ikapanda mara mbili.

Akaja na bonge la dili kwa rafiki zake la kuweka monopoly kwenye mfumo wa mbolea.

Hii nchi tunapigwa sana kumamae
Akishupaza shingo jukwaani kama mzalendo vile kumbe hopeless
 
Mwongo sana BASHE

Msimu ukataji muwa huanza lini na huisha lini?

Na endapo Hadi sasa haukukatwa vyama vya ushirika vinaurasimu mkubwasana kwa wakulima na rushwa ili zone zikatwe muwa kwa wakati
 
Back
Top Bottom