Hussein Bashe: Upungufu wa sukari nchini utaisha mwezi Machi

Ipo siku wanancho watakufa na njaa kwa sababu TU ya viongozi kushindwa kuwajibika na kujipanga mapema hasa zile nyakati zinazohitaji msaada wa serikali kwa wanachi .. sukari ilipaswa iwepo ya kutosha muda wote
 
Upungufu wa sukari, upungufu wa umeme, upungufu wa...
 
Maji mengi sukari HAKUNA
Maji hakuna UMEME HAKUNA
MAJI YAPO VYOTE HAKUNA.
KIZIMKAZIameshindwa na wafanya bznes ndani ya Tanganyika.
Lakini mwisho w cku hana cha kupoteza si anunui sukari nyumbani.
Hebu msikilize hapa...
Your browser is not able to display this video.
 
Halafu kuna ‘body ya sukari’ yenye jukumu la ku-monitor stock levels na kuakikisha sukari ina patikana siku zote.

Mpaka sukari inakua hadimu maana yake kuna uzembe wa hali ya juu on risk attitude and high risk appetite.

Ina maana kama nchi atuweki ‘buffer stock’ ya kumudu upungufu utakaotokana unforeseen external factors zitazoweza vuruga mavuno consiidering all elements of nature; and lead time ya kuagiza kuondoa madhara.

Hakuna mitigating plan ya kupunguza madhara ya ‘down side strategic risk’ itakapotokea yaani mvua inyeshe uone madhara yaliyo mbele hakuna plan yeyote ya intervention mpaka sukari inaisha.



Serikali iwanunulie hawa vilaza vitabu vya risk management. It’s just appalling uzembe wa kiasi hiko.

Hakuna utetezi wowote zaidi ya uzembe na kuwapa watu nafasi bila ya sifa sahihi ndio msingi wa tatizo.

Nafasi zenyewe sasa wakitangaza au hao wateuliwa wenyewe utasikia sijui Prof, Dr, experience ya miaka 5 at senior level. Halafu utendaji zero, sasa hadi unapata Phd na experience ya executive position kwa miaka mitano inakuwaje uwezi hata kufanya inventory control.

Shida ni uwezo mdogo wa hawa watu, nothing else.
 
Mwenyewe anaona ametoa sababu ya maana kweli!!!

Waziri mzima, unayetarajiwa kuwa na akili na weledi wa kutosha unathubutu kuwaambia kuwa sababu ya tatizo ni mvua!! Hivi mvua imeanza kunyesha mwaka huu? Yeye kama msimamizi wa sekta hakuwa anajua kuwa kila mwaka huwa kuna kipindi cha mvua? Walichukua tahadhari gani?
 
Kwahio bongo huwa hatuna stock ya kitu chochote? Kwamba uzalishaji ukishuka hakuna hifadhi ya sukari kwenye maghara ya taifa ambayo wanaweza kuitoa ili kuokoa jahazi?
Kuna siku tukipata janga kubwa watu watakufa kwa njaa kama dagaa
 
Tutaanza kunywa chai mwezi machi CCM 1954-2024=70years
 
Kabisa namuonaga kama populist hakuna alichowahi kusema kikafanikiwa anzia BBT,ruzuku ya pembejeo na mbolea
Bashe alikuta mbolea bei chini sana ila mwaka wake wa kwanza bei ikapanda mara mbili.

Akaja na bonge la dili kwa rafiki zake la kuweka monopoly kwenye mfumo wa mbolea.

Hii nchi tunapigwa sana kumamae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…