Nchi ina upungufu wa kila kitu mpaka nguvu za kiumeUpungufu wa sukari, upungufu wa umeme, upungufu wa...
+ Upungufu wa akiliNchi ina upungufu wa kila kitu mpaka nguvu za kiume
Trein tuliambiwa January naona inaisha hata ticket hawajaanza kuuzaHata mgao wa umeme tumeambiwa utapungua mwezi March!!!
Utakuwa mwezi wa Maajabu bila shaka.
Yupo busy na ndugu zake waarabuMaji mengi sukari HAKUNA
Maji hakuna UMEME HAKUNA
MAJI YAPO VYOTE HAKUNA.
KIZIMKAZI ameshindwa na wafanya bznes ndani ya Tanganyika.
Lakini mwisho w cku hana cha kupoteza si anunui sukari nyumbani.
Na hili ndiyo chanzo cha upungufu mwingine+ Upungufu wa akili
Akishupaza shingo jukwaani kama mzalendo vile kumbe hopelessBashe alikuta mbolea bei chini sana ila mwaka wake wa kwanza bei ikapanda mara mbili.
Akaja na bonge la dili kwa rafiki zake la kuweka monopoly kwenye mfumo wa mbolea.
Hii nchi tunapigwa sana kumamae