UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Naunga mkono hoja. Baada ya yale maandamano ya wiki nzima mfurulizo.Huo mchele wapewe na wafuasi wa chadema kabla na baada ya Maandamano tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja. Baada ya yale maandamano ya wiki nzima mfurulizo.Huo mchele wapewe na wafuasi wa chadema kabla na baada ya Maandamano tafadhali.
Ukombozi wa Tanzania upo Mikononi mwa Watanzania wenyewe.Dar es Salaam. Saa chache baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amefunguka akisema waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kutoka nje, kwa kuwa Tanzania ina hazina ya mchele.
Akaongeza kuwa kama ni virutubisho, bado shirika lililoagiza mchele huo lingenunua mchele wa ndani na kuwaomba wafadhili wao wauongezee virutubisho hapahapa nchini, huku kila mtu akiona kuliko kuagiza kutoka nje ya nchi.
Mjadala wa mchele huo ulianzia katika mtandao wa X, baada ya ukurasa wa Ubalozi wa Marekani kuweka picha iliyokuwa ikionyesha viroba vya mchele huo, huku ikiambatisha na ujumbe uliosomeka:
"Chini ya mpango wa 'Pamoja Tuwalishe', Wizara ya Kilimo ya Marekani, kwa ushirikiano na Jumuiya za Kimataifa, imetoa msaada wa kwanza wa mchele ulioongezwa virutubisho, maharage na mafuta ya alizeti kutoka kwa wakulima wa Marekani moja kwa moja hadi shuleni katika eneo la Dodoma nchini Tanzania."
Ujumbe huo uliendelea kueleza kuwa msaada huo unalenga zaidi kutoa milo yenye lishe kwa wanafunzi wa shule zaidi ya 300 zinazoshiriki, huku ukieleza kuwa mbali na mchele huo, pia wataanzisha bustani za shule na kufunza mbinu za kuvuna.
Alichosema Bashe
Akizungumzia suala hilo wakati akielezea miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na yale aliyoyafanya katika sekta ya kilimo, Bashe amesema Tanzania inazalisha mchele na maharagwe kwa kiwango cha kutosha.
"Tumewaambia ile NGO, waambieni Wamarekani kuwa mchele upo maharagwe yapo nchi hii, zile fedha wanazotumia kuwapa wakulima wa Marekani wawape Watanzania. Tununue mchele kutoka Tanzania, maharage kutoka hapa Tanzania, halafu hivyo virutubisho mnavyotaka kuweka muwekewe hapahapa Tanzania wote tunaona," amesema Bashe na kuongeza kuwa ameieleza NGO hiyo kuwa Tanzania inajitosheleza kwa chakula.
Maoni mtandaoni
Elisha Mbise alitoa maoni yake katika ujumbe ulio katika ukurasa wa Ubalozi wa Marekani akiandika: "Tanzania tuna chakula cha kutosha...mchele umejaa kila mahali. Walete vitu vya maana, wajenge maabara, walete vifaa vya hospitali, vifaa vya kufundishia, vyuo vya ufundi. Hivi ndivyo vitu vinavyoweza kugusa elimu na afya kama kweli wana nia na kusaidia hayo maeneo.’’
Naye Dani Zayumba aliandika: "Tanzania hatuhitaji chakula cha misaada bali tunahitaji mabadiliko ya mitalaa ya elimu, ili tuweze kujilisha wenyewe. Mnaweza kufananisha mchele wa Mbeya na Marekani kweli?’’
Credit: Mwananchi digital
View attachment 2936741
Hapo awali Balozi wa Marekani ukiandika kwenye Mtandao wa X Kwamba, "Chini ya mpango wa 'Pamoja Tuwalishe', Wizara ya Kilimo ya Marekani, kwa ushirikiano na Jumuiya za Kimataifa, imetoa msaada wa kwanza wa mchele ulioongezwa virutubisho, maharage na mafuta ya alizeti kutoka kwa wakulima wa Marekani moja kwa moja hadi shuleni katika eneo la Dodoma nchini Tanzania. Zaidi ya kutoa milo yenye lishe, wanafunzi katika shule zaidi ya 300 zinazoshiriki, pia wataanzisha bustani za shule, na kujifunza mbinu za kuvuna maji ya mvua. Ikiwa ni mfano kamili unaoweza kuigwa, programu hii inaakisi ahadi na dhamira ya dhati ya Marekani ya kukuza afya, elimu, na fursa kwa watoto kote ulimwenguni."
View attachment 2936743View attachment 2936744

Wewe umejuaje kama nakaa mjini? Ok,vijijini kuna njaa. Sasa huo msaada kwanini usielekezwe vijijini kwenye njaa?Tembeaa vijijini kijana, usikae mjini ukadhani kilamtu anakula na kushiba!! Kunavijiji hali ni mbaya mmno kushinda njaa nikawaida mmno watu wanakunywa ujii siku nzima!! Tembeaa nimejionea ndomana napata hasira!!
Wewe hujawahi saidia watu chakula hata siku moja?? Ndomana hujui kama Kuna wenyeshida...shameless!!
Bro, huo msaada uliotolewa na Marekani kwa Tanzania wala hauwezi kuizuia Marekani kuzipa msaada nchi hizo ulizozitaja. Ni juzi tu Marekani amemwaga Tani elfu 49 za Chakula cha Msaada huko Ethiopia.Kwa nini huo msaada wa chakula hawajapeleka kwenye nchi ambazo zimepigwa na njaa kama somalia ambako watoto wanakufa kwa utapia mlo huko ndio wanahitaji lishe sio hapa Tanzania, yani wanataka kusema kwamba hata swala la lishe na lenyewe tumeshindwa hadi tupewe msaada [emoji848][emoji848] haya ni matusi, Kuna walakini mkubwa kwenye huo msaada usiokua na maana waupime vizuri wasije kuingiza watoto matatizoni tena ikiwezekana urudishwe ulikotoka
Hawajasema ni Watoto 300.Ni shule 300.Soma tena upya uache kukurupuka.Watoto 300 wakila huu mchele 100 mpaka 200 watakuwa jamii ya upinde. Virutubisho vya upinde lazima watoto wawe target kuu.
J.lokole anasemaje kwaniTena angekuwa uncle Magu viongozi wa hiyo NGO wangekula mboko, wanataka kutuulia kizazi chetu shupavu. Hii nchi ina watu wa hovyo sana, ilitakiwa wapewe masaa kadhaa huo mchele uwe umechomwa na TBS
Sinza huko wamejaaa upinde kibao na mnaishi naoWatoto 300 wakila huu mchele 100 mpaka 200 watakuwa jamii ya upinde. Virutubisho vya upinde lazima watoto wawe target kuu.
Wewe kula huo mchele siku ukianza kuwashwa na makali…o utanikumbuka🤣Sinza huko wamejaaa upinde kibao na mnaishi nao
Media zenu tu wamejaaa upinde kibao pia
Vp hao wameletwa na wazungu
Ova
Wewe kula huo mchele siku ukianza kuwashwa na makali…o utanikumbuka🤣Hawajasema ni Watoto 300.Ni shule 300.Soma tena upya uache kukurupuka.
Labda babu yako angekosa huo ugali wa njano angekufa kabisa kwa njaa au angeshindwa hata kufanya mapenzi kuzaa na hata leo hii wewe usingekuwepo.
vya bagombe donke na bifaranga vya kuku. TuUgali wa njano hauwezi kukosa vitamini. Soma hiyo.
Nutritional Value of Yellow Maize: Yellow maize is rich in essential nutrients, making it a valuable source of energy, protein, vitamins, and minerals. The grain contains high levels of carbohydrates, primarily in the form of starch, which serves as a vital energy source.
Akili zenu wengine ni za hovyo sana.Safi, ila hivyo virutubisho wangepewa Chadema