kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Huwa sijui klabu zetu huwa zinatumia vigezo gani kuwapata wasemaji wao wa klabu, nafikiri hizi klabu huwa zinajiokotea tu wahuni bar au vijiwe vya kahawa wale wenye kusema sana kwa mihemko ndio wanawachukua.
Mpaka sasa msemaji wa klabu bora kwa muda wote ni Thobiasi Kifaru wa Mtibwa, huwezi sikia akizungumza pumba.
Hawa kizazi cha role model wao Haji Manara ni wa ovyo kuliko ovyo yenyewe. Msemaji wa Singida Black Stars Hussein Massanza ni wa ovyo kabisa kupata kutokea, yupo yupo tu hajui anachokiongea. Huyu kirusi mbaya zaidi ya covid19 na hata ukimwi katika soka la bongo.
Msemaji anapongeza upuuzi eti GSM kuifanya ligi kuwa kama EPL kwa lipi GSM anadhamini timu saba kwanini hajaipongeza Azam inayorusha matangazo na kulipa udhamini. Kuna muda ilidhamini timu zote ligi kuu hatukusikia akiipongeza. Hawa ndio wanaramba makalio ya matajiri.
Jana baada ya mechi ya mipango eti ana furaha timu yake kufungwa kisa tu Yanga amepata point tatu za kuiacha Simba. Huyo huyo bado anazungumza mambo ya ufundi kama yeye ni mmoja wapo wa benchi la ufundi anatupa wasiwasi na hujuma kutoka kumsifia GSM mpaka kuzungumzia upangaji wa kikosi
Hapa Massanza ni kirusi cha kuogopwa Massalanga anayejulikana si wa kufungwa magoli ya kiboya vile bado msemaji anakenua kenua tu.
Huyu ni kirusi mbaya na wa kuogopwa yupo pale kwa ajenda moja tu saidia GSM awe bingwa akapigwe Caf.
Inasikitisha msemaji kufurahia kufungwa.!