Hussein Massanza ni kirusi katika soka bongo na ni msemaji wa ovyo kupata kutokea Tz, anatumika...

Hicho ulicho post ni kutokua na ufahamu niulize historia ya coastal union na simba nitakupa....coastal alifungwa kiuwezo...sio hii kabla ya mechi ukisikiliza vituo vyote vya redio watangazaji walijua nini kinakwenda kutokea hata msemaji anamshukuru GSM badala ya mwigulu mwenye timu!
Mnakaza GSM asidhamini ligi ili timu zipate ukata muwe mnawatumia nauli mnakuja mnawapiga 8
 
GSM ana udhamini au ana uhujumu mpira muulize hussein massanza na kali ongala....
Anahujumu vip mpira
GSM ni mfanyabiashara anatangaza biashara bidhaa zake
GSM sio mmiliki wa timu yoyote
Au unataka asitangaze bidhaa zake awe kabwela kama wewe
Acha roho mbaya
 
Unajitoa ufahamu biashara gani anayotangaza Hersi unajua mshahara wake analipwa na nani unajua yupo yanga kulinda maslahi ya nani sio unajisemea tu kwa kuwa mahaba niue yamekuzidia GSM si mdhamini kama walivyo wadhamini yupo kama mvurugaji wa soka!
 
Ubaya ubwela
Huwa sijui klabu zetu huwa zinatumia vigezo gani kuwapata wasemaji wao wa klabu, nafikiri hizi klabu huwa zinajiokotea tu wahuni bar au vijiwe vya kahawa wale wenye kusema sana kwa mihemko ndio wanawachukua.

Mpaka sasa msemaji wa klabu bora kwa muda wote ni Thobiasi Kifaru wa Mtibwa, huwezi sikia akizungumza pumba.

Hawa kizazi cha role model wao Haji Manara ni wa ovyo kuliko ovyo yenyewe. Msemaji wa Singida Black Stars Hussein Massanza ni wa ovyo kabisa kupata kutokea, yupo yupo tu hajui anachokiongea. Huyu kirusi mbaya zaidi ya covid19 na hata ukimwi katika soka la bongo.

Msemaji anapongeza upuuzi eti GSM kuifanya ligi kuwa kama EPL kwa lipi GSM anadhamini timu saba kwanini hajaipongeza Azam inayorusha matangazo na kulipa udhamini. Kuna muda ilidhamini timu zote ligi kuu hatukusikia akiipongeza. Hawa ndio wanaramba makalio ya matajiri.

Jana baada ya mechi ya mipango eti ana furaha timu yake kufungwa kisa tu Yanga amepata point tatu za kuiacha Simba. Huyo huyo bado anazungumza mambo ya ufundi kama yeye ni mmoja wapo wa benchi la ufundi anatupa wasiwasi na hujuma kutoka kumsifia GSM mpaka kuzungumzia upangaji wa kikosi

Hapa Massanza ni kirusi cha kuogopwa Massalanga anayejulikana si wa kufungwa magoli ya kiboya vile bado msemaji anakenua kenua tu.

Huyu ni kirusi mbaya na wa kuogopwa yupo pale kwa ajenda moja tu saidia GSM awe bingwa akapigwe Caf.

Inasikitisha msemaji kufurahia kufungwa.!
 
A

Acha upumbavu, hakuna aliyekulazimisha kushabikia simba.
 
Unajitoa ufahamu biashara gani anayotangaza Hersi unajua mshahara wake analipwa na nani unajua yupo yanga kulinda maslahi ya nani sio unajisemea tu kwa kuwa mahaba niue yamekuzidia GSM si mdhamini kama walivyo wadhamini yupo kama mvurugaji wa soka
Unajitoa ufahamu biashara gani anayotangaza Hersi unajua mshahara wake analipwa na nani unajua yupo yanga kulinda maslahi ya nani sio unajisemea tu kwa kuwa mahaba niue yamekuzidia GSM si mdhamini kama walivyo wadhamini yupo kama mvurugaji wa soka!
Kwaiyo unataka GSM akusikie wewe mbumbumbu asitangaze bidhaa zake kisa wewe ushabiki umekujaa kichwani.

Mbona hulalamiki Azam anayedhamini kila timu
Meridian bet anadhamini timu ngapi
Pm bet anadhamini timu ngapi
Asas anadhamini timu ngapi
Lodhia anadhamini timu ngapi
Sportpesa anadhamini timu ngapi
Mbet anadhamini timu ngapi
 
Gboost ni ya mwigulu!?
Jamaa sijaona shida yake na ukweli ni anajitahidi tena hana dharau
Singida ni ya mwigulu nchemba hata hii itakufa kama hatopata ubunge au uwaziri kama iivyokufa singida united!
 
Hicho ulicho post ni kutokua na ufahamu niulize historia ya coastal union na simba nitakupa....coastal alifungwa kiuwezo...sio hii kabla ya mechi ukisikiliza vituo vyote vya redio watangazaji walijua nini kinakwenda kutokea hata msemaji anamshukuru GSM badala ya mwigulu mwenye timu!
Kuna match hapo ilikua maalum saidoo awe mfungaji bora
 
Singida ni ya mwigulu nchemba hata hii itakufa kama hatopata ubunge au uwaziri kama iivyokufa singida united!
Ikifa wewe unapata faida Gani
SBS umeajiri Watanzania wangapi?
Unajua ni kiasi Gani inachochea uchumi wa Singida?
SBS unajua inalipa Kodi kiasi Gani?
Kwaiyo timu ife ili wewe hufurahi, Watanzania wapoteze ajira
 
Kwaiyo unataka GSM akusikie wewe mbumbumbu asitangaze bidhaa zake kisa wewe ushabiki umekujaa kichwani.

Mbona hulalamiki Azam anayedhamini kila timu
Meridian bet anadhamini timu ngapi
Pm bet anadhamini timu ngapi
Asas anadhamini timu ngapi
Lodhia anadhamini timu ngapi
Sportpesa anadhamini timu ngapi
Mbet anadhamini timu ngapi
Hao wanadhamini wakiwa maofisini kwao Gsm ana mfanyakazi anayemlipa mshahara moja kwa moja ambae ni raisi wa klabu ya yanga utopolo wewe mnywa supu unalipi ulijualo zaidi ya kubweka kama nyani namnukuu yule kocha wa yanga!
 
ANGEISIFIA CHASAMBI FC, HAPO ANGEONEKANA WA MAANA ETI EE?

MNATAKA MUWE MNAWAPA NAULI WAKIFKA MNAWAPGA 7+ ETI?

huo ni mwezi mchanga wahi hosp kabla madaktar hawajaenda likzo
 
Huwa sijui klabu zetu huwa zinatumia vigezo gani kuwapata wasemaji wao wa klabu, nafikiri hizi klabu huwa zinajiokotea tu wahuni bar au vijiwe vya kahawa wale wenye kusema sana kwa mihemko ndio wanawachukua.

Mpaka sasa msemaji wa klabu bora kwa muda wote ni Thobiasi Kifaru wa Mtibwa, huwezi sikia akizungumza pumba.

Hawa kizazi cha role model wao Haji Manara ni wa ovyo kuliko ovyo yenyewe. Msemaji wa Singida Black Stars Hussein Massanza ni wa ovyo kabisa kupata kutokea, yupo yupo tu hajui anachokiongea. Huyu kirusi mbaya zaidi ya covid19 na hata ukimwi katika soka la bongo.

Msemaji anapongeza upuuzi eti GSM kuifanya ligi kuwa kama EPL kwa lipi GSM anadhamini timu saba kwanini hajaipongeza Azam inayorusha matangazo na kulipa udhamini. Kuna muda ilidhamini timu zote ligi kuu hatukusikia akiipongeza. Hawa ndio wanaramba makalio ya matajiri.

Jana baada ya mechi ya mipango eti ana furaha timu yake kufungwa kisa tu Yanga amepata point tatu za kuiacha Simba. Huyo huyo bado anazungumza mambo ya ufundi kama yeye ni mmoja wapo wa benchi la ufundi anatupa wasiwasi na hujuma kutoka kumsifia GSM mpaka kuzungumzia upangaji wa kikosi

Hapa Massanza ni kirusi cha kuogopwa Massalanga anayejulikana si wa kufungwa magoli ya kiboya vile bado msemaji anakenua kenua tu.

Huyu ni kirusi mbaya na wa kuogopwa yupo pale kwa ajenda moja tu saidia GSM awe bingwa akapigwe Caf.

Inasikitisha msemaji kufurahia kufungwa.!
Kusema kweli mechi ya mchongo ya jana imeunajisi sana mpira wa Tanzania. Kilichofanyika jana ni match fixing ya wazi kabisa, GSM ameibaka ligi yetu hadharani
 
Ikifa wewe unapata faida Gani
SBS umeajiri Watanzania wangapi?
Unajua ni kiasi Gani inachochea uchumi wa Singida?
SBS unajua inalipa Kodi kiasi Gani?
Kwaiyo timu ife ili wewe hufurahi, Watanzania wapoteze ajira
Hivi sasa ina faida gani,yeye ameua ajira za watu wangapi alipoiua ihefu wacha ife tu!
 
Watu wanawekeza
Wewe mbumbumbu unatamani biashara zao zife
Utakufa wewe
Wewe pia utakufa kifo kibaya.. Amewekeza au ana takatisha fedha...usikimbie mada ya soka kuwa massanza ni kirusi!
 
Hicho ulicho post ni kutokua na ufahamu niulize historia ya coastal union na simba nitakupa....coastal alifungwa kiuwezo...sio hii kabla ya mechi ukisikiliza vituo vyote vya redio watangazaji walijua nini kinakwenda kutokea hata msemaji anamshukuru GSM badala ya mwigulu mwenye timu!
Vipi mechi ambayo Saidoo alifunga goli 4 vs cost ila saidoo awe sawa na Mayelle?? Kuna lolote uliongea juu ya ile mechi mkuu au kwa vile ulifaidi Moja Kwa Moja??

Unakumbuka Simba vs prison mlifunga goli gani?? Vipi na dodoma?? Kama unapenda haki twambie ulikemeaje Hilo ili tujue wewe ni mdau haswaaaa
 
Ukirudia nyuzi za nyuma nilitahadharisha kuhusu timu za kariakoo simba,yanga na azam kuharibu soka la bongo tatizo umeona uzi wa leo ya nyuma hujapitia sifagilii upuuzi!
 
Back
Top Bottom