Hussein Massanza ni kirusi katika soka bongo na ni msemaji wa ovyo kupata kutokea Tz, anatumika...

Hussein Massanza ni kirusi katika soka bongo na ni msemaji wa ovyo kupata kutokea Tz, anatumika...

Kirusi Kiko kichwani mwako
Wewe unataka watu wafanye vile unataka wewe
Wacha nikuache nafikiri haupo sawa kichwani ila wana michezo wanahitaji mpira fair kama wa miaka ya nyuma mto singida ana mfunga pamba yanga anafungwa na reli,simba anafungwa na mecco kanywe maji upunguze kisukari na mahaba!
 
We hujui mpira
Unataka muwapangie makocha vikosi
Enzi hizi hutaki kuheshimu taaluma za makocha
Unataka kocha apange kikosi unachotaka wewe
 
Kusema kweli mechi ya mchongo ya jana imeunajisi sana mpira wa Tanzania. Kilichofanyika jana ni match fixing ya wazi kabisa, GSM ameibaka ligi yetu hadharani
Unakumbuka siku ntbaznkza anafunga bao kutafta ufungaj bora?
Unakumbka vita ya ndugu tabra na makolo?
Anyway mlitaka yanga afungwe ee? Bado hamjalia, mtasema yote.
Chasamb fc nawakumbusha tu kuwa si kwamba simba tu ndo ana haki ya kufungwa na yanga, hapana hata timu zngne zna haki ya kufungwa na yanga.
JE YANGA ANGEPOTEZA POINT MNGERUKA NA HAYA AU NDO MNGESEMA KOCHA KAIJULIA YANGA.
NI LINI BLACK STAR WALITUFUNGA? BASI ACHA HYO, NI LINI KOCHA OUMA ALITUFUNGA AKIWA NA TIMU YOYOTE?
 
Unampangia amsifie nani, kinywa ni chake azam msifie wewe, yeye kamchagua GSM.
 
We hujui mpira
Unataka muwapangie makocha vikosi
Enzi hizi hutaki kuheshimu taaluma za makocha
Unataka kocha apange kikosi unachotaka wewe
Sawa mpira sijui ila matokeo yakipangwa nayajua na hatutowacha kupiga kelele ndio starehe yetu hatupo kufagilia mbuzi makende hakujawahi kutokea timu moja kuinunulia timu nyingine wachezaji na makocha...wacha nikuache kichwa chako kinapata moto mapema unataka tuamini unachoamini wewe .Alamsiki bin nuur...
 
Leta viashiria vya upangaji matokeo tuone
 
Hicho ulicho post ni kutokua na ufahamu niulize historia ya coastal union na simba nitakupa....coastal alifungwa kiuwezo...sio hii kabla ya mechi ukisikiliza vituo vyote vya redio watangazaji walijua nini kinakwenda kutokea hata msemaji anamshukuru GSM badala ya mwigulu mwenye timu!
Namungo alishawahi kumfunga Simba lini ?
 
Attachments

  • Screenshot_20250218_121834_X.jpg
    Screenshot_20250218_121834_X.jpg
    136.6 KB · Views: 2
Hawa masindano FC na ndugu zao Gsm Family vitawatokea puani...
 
Back
Top Bottom