Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Ni Mtanzania.
Yaani hao wanao jiita wanzibar ni wamakonde na wasukuma mixer nyamwezii wale walivushwa na mabwenyenye ya kiarabu Kwa ufanyanywa utumwa[emoji16][emoji16] , sasa Ajabu Nikwamba wanakataa asili Yao haoo. Ukikutana na watu wa kulee waambie we kabila gani ? Uwasikie vizurii [emoji23] yaani hawana kitu wanajua aisee, wanajaribu kutafuta identity ambayo waowenyewe hawaijui ....!Ngoja nikuambie kitu mkuu.
Hivi unajua kuna wazanzibari waliozaliwa bara? Na unakubaliana na mimi kwamba kuna wasukuma waliozaliwa zanzibar? Na unajua kwamba kuna wamakonde waliozaliwa Musoma? Hao je tunawaitaje? Kuzaliwa kwao Musoma au Kagera kunawatoa umakonde wao?
Kama jibu ni sio hiyo ndiyo case ya Hussein Mwinyi pia. Hivi unajua kwamba hata baba yake aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga ? Mkuranga inaweza kuwa sehemu yake tu aliyoianzia siasa lakini kama asili yake ni Zanzibar basi alirudi nyumbani
Bora Tulia Ackso Hashim RungweBora serukamba tulia ackson
Sisi ni watanzania hatuchagua kiongozi kwa kuangalia alikozaliwa. Tuna wabunge wengi wanaongoza majimbo ambayo sio kwao kwa kuzaliwa na wanaongoza vizuri sana. Kuna Wazanzibari wengi wanaishi bara na hakuna anayewauliza wanashikiri shughuli zote za kisiasa na kiuchumi wakiwa huru. Lakini kwa baadhi ya wenzetu WANASIASA UCHWARA KILA KUKICHA WANATAFUTA SABABU YA KUTUGOMBANISHA KWA KUTENGENEZA TOFAUTI FEKI ILI TUCHUKIANE NA TUGOMBANE.Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.
Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?
Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Ili kuondoa Tanganyika kuimeza Zanzibari, wao wana ruksa kugombea Tanzania bali Watanganyika hugombea Tanzania Bara tu. Kadhalika ile sheria ya kumtaka mgombea huko Visiwani kuwa na kitambulisho cha mkazi kwa muda ambao wameuweka inawatoa Wabara katika kugombea huko.chinembe,
Kwani sheria inasemaje kuhusu kugombea ubunge? Wa bara agombee bara na wa visiwani agombee visiwani?
Una habari kwamba kwa Mwinyi ni Zanzibar na wana ardhi kubwa sana Zanzibar? Kama sio wazanzibari imekuwa je wakamiliki hayo maeneo?
Hivi huwezi kuishi Zanzibar ukafanyia kazi Dar. Mbona wabunge wengi wanaishi Dar na sio majimboni kwao?
Maana ya kuishi Zanzibar unaielewa vipi?
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.
Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?
Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Umeelewa swali! Sio kila jibu ni jibu.Ni Mtanzania.
Shida iko wapi? Mzanzibari yeyote ana haki ya kugombea nafasi yoyote Tanganyika. Na ndicho alichofanya Hussein Mwinyi.Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.
Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?
Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Mgombea wa kukodi huyo, Wazanzibar hawana sifa ya kusimamisha mgombea u Rais kupitia CCM huko. Inasikitisha sana.Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.
Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?
Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Tangu mwaka 1995 zanzibar haijawahi kukosea kupiga kura sema tuu ni vile wananyimwa haki yao kinguvuZanzibar wasipotumia fursa ya Lissu na Seif katika uchaguzi huu CCM wakimtaka wanaweza kumpachika Uzanzibari hata Serukamba na kuwa Rais wa Zanzibar na Waunguja wasifanye kitu.
Okay, kuwa na sifa Zanzibar unatakiwa uishi miaka mitano, na Mkuranga unatakiwa miaka mingapi???Amekuwa mkaazi wa mkuranga hivyo alikuwa na sifa za kugombea huko. Sifa kuu ya kugombea zanzibar ni uwe mzaliwa kwa asili au uwe umekaa (kuishi zanzibar miaka 5 mfululizo).
Eeeh!?!Katiba ya Jamuhuri inamruhusu Mtanzania yeyote mwenye umri zaidi ya 21 anayejua kusoma na kuandika kugombea ubunge mahala popote katika Jamuhuri..na ndio maana unakuta wachaga wakiwa wabunge wa waarusha Kwa zaidi ya miaka 15 SASA. (katiba inaruhusu)
CCM imejaza mabashite, hawezi kujitokeza mtu wa kujibu hili. CCM hawajitambuiZanzibar wasipotumia fursa ya Lissu na Seif katika uchaguzi huu CCM wakimtaka wanaweza kumpachika Uzanzibari hata Serukamba na kuwa Rais wa Zanzibar na Waunguja wasifanye kitu.
ahahahahahaaaa . . .raha sanaYaani hao wanao jiita wanzibar ni wamakonde na wasukuma mixer nyamwezii wale walivushwa na mabwenyenye ya kiarabu Kwa ufanyanywa utumwa[emoji16][emoji16] , sasa Ajabu Nikwamba wanakataa asili Yao haoo. Ukikutana na watu wa kulee waambie we kabila gani ? Uwasikie vizurii [emoji23] yaani hawana kitu wanajua aisee, wanajaribu kutafuta identity ambayo waowenyewe hawaijui ....!