Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VIJANA WA CCM TUKAE KWA KUTULIA.
Na Thadei Ole Mushi.
Kila nikiangalia hii picha ya Joshua Nasari, nikikumbuka na swali lililoulizwa na Mjumbe Wa NEC toka Songwe kuhusu wahamiaji kupewa Vyeo badala ya vijana waliopo CCM nacheka Sana.
Definitely tuache Hawa vijana wajinafasi kwa kuwa sioni ndani ya UVCCM mwenye uwezo wa kuwazidi. Nilipokuwa nasema Sana kuhusu hili miaka ya kuanzia 2017 Hakuna waliokuwa wanaunga mkono Hoja hiyo kila mtu alikuwa anaimba litania, Ngonjera,Pambio za Masifu, kupiga Manyanga nk.
Niliwaambia ifikapo 2020 mtakumbuka haya niliyokuwa nawaandikia na niliwaambia CCM Asilia itakuwa imetekwa na kutiwa mfukoni. Ni Dhahiri baada ya chuo Cha kivukoni kushindwa kupika vijana wa CCM Chadema inatusaidia jukumu Hilo.
Huwa nawaambia mnapata wapi ujasiri wa kuwaita Chadema Nyumbu? Hahahahah tutulie infact hatuna vijana wanaofikia viwango vya Hawa watu. Tutulie tuendelee na kujifua.
Ukiona baba yako anawagawia watoto wa Jirani Urithi ujue wewe ni mvuta bangi na mla Unga. Akikupa Urithi utauza upate hela ya kulamba Unga.
Ole Mushi
0712702602
WELL SAIDVIJANA WA CCM TUKAE KWA KUTULIA.
Ukiona baba yako anawagawia watoto wa Jirani Urithi ujue wewe ni mvuta bangi na mla Unga. Akikupa Urithi utauza upate hela ya kulamba Unga.
Ole Mushi
0712702602
CCM ni NGO ya MwenyekitiVIJANA WA CCM TUKAE KWA KUTULIA.

Ok sawa kwa imani uliyonayoPoint yako nzuri sana, ila ukirudi nyuma utagundua kuwa wengi wa hao waliokuwa CHADEMA ni wale waliokuwa CCM (sipokuwa labda Mtatiro na Kafulila), lakini wakafanyiwa rafu ndipo wakakimbilia CHADEMA na kushinda wakiwa kule. Naona CCM inachotaka kufanya ni kuondoa rafu za waziwazi, waache wote washindane kwenye level ground moja, halafu mshindi atakayekubaliwa hata na aliowashinda ndiye apewe kijiti.
Ccm haina wenyewe siku hizi ccm ina mwenyewe anajiamulia chochote anachotaka na ukijifanya kupanua domo lako unapotezwa........wote waliojaribu wamekiona cha mtema kuniCCM ni NGO ya Mwenyekiti
Fact kabisa mkuuWELL SAID
Potezea tu mkuu......Si uanzishe uzi wako mbona unatuconfuse??
CHADEMA ipo kwenye mioyo ya watz wkt ccm ipo kwenye mioyo ya polisi na tume ya uchaguzi.....Wak
Bahati yao mbaya,inawachukua muda kuja kuelewa kuwa CDM na Upinzani kuna wazalendo wa kweli na siyo hawa wa plastic waliopo huko CCM hasa hii mpya.Wanaimba mapambio ambayo mtunzi/producer wao ni Polepole,unatarajia Mhe.Rais afanyeje?
Wangekubali tu CDM iongoze nchi kwa walau miaka mitano tufanye ulinganifu baina yao na hawa CCM.Tukigundua hawawezi tutairudisha CCM na/au kuipa ACT Wazalendo,NCCR Mageuzi,UDP,UPDP,CHAUMA,TADEA,CUF etc.Endapo CDM/ACT Wazalendo wakiungana tunaweza kuisahau CCM na Watanzania hawatawasamehe kamwe na itapotea kama KANU.
Kwa taarifa yako Wazanzibar wanafaidi muungano kuliko Wabara. Angalia Wapemba walivyojaa Bara wakifanyabiashara na kumiriki hadi ardhi wakati wabara hawaruhusiwi kumiliki ardhi huko Zanzibar. Hivyo raia wa kawaida hawawezi kuvunja muungano labda hao wanasiasa uchwara!Kama Wazanzibar wengi hawaridhii muungano ni swala la muda tu, ipo siku tutagawana fito.
Watz wapi hao? Chadema acha ijifie nyenyewe wala msilaumu CCM tabia za viongozi wa Chadema ndiyo shida!CHADEMA ipo kwenye mioyo ya watz wkt ccm ipo kwenye mioyo ya polisi na tume ya uchaguzi.....
Ndio maana ccm wanaogopa time huru, wanaogopa katiba ya wananchi, hawataki chadema wafanye siasa, lkn wanaogopa hata uchaguzi wenyewe maana wanajua hapa tulipo hakuna mkulima, mfanyakazi, mfanyabiashara au mwanafunzi anaweza kuipigia kura ccm.....
Wanahofu sn jamaa
MNAOGOPA NINI?Watz wapi hao? Chadema acha ijifie nyenyewe wala msilaumu CCM tabia za viongozi wa Chadema ndiyo shida!
Hata huku bara hauna fAIDA, wao ndio wanatunyonya.........1 2 3, waende kwao uone jinsi wameziba nafasi za wa-Tanganyika.............muda utasema tuuUtavunjwa tu(ni muda tu ndio utaongea), hakuna mzanzibar anayetaka MUUNGANO ,hauna faida kwao zaidi ya kuwanyonya tu!!
Inatakiwa kuwe na ushahidi, tutaaminije?Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar kuchagua kiongozi wao imeheshimiwa? Mbona kama wamechaguliwa kiongozi au wenzangu mnalionaje hili.Hawana haki ya kulalamika?View attachment 1504475
Kweli, tusiwasemeeKama Wazanzibar wengi hawaridhii muungano ni swala la muda tu, ipo siku tutagawana fito.