PostGE2025 Hussein Mwinyi wa Zanzibar ni Rais bora sana. Nampa maua yake!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Home tutor Dar

Senior Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
126
Reaction score
156
Katika historia ya Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameonesha uongozi wa mfano unaozingatia maadili, maendeleo na mshikamano wa wananchi. Kwa msingi huo, sina shaka kusema kuwa yeye ni mmoja wa marais bora kabisa kuwahi kuliongoza taifa la Zanzibar.

Kwanza, Dk. Mwinyi amejipambanua kwa kuwa kiongozi mwenye nidhamu ya hali ya juu, utulivu na busara katika kuongoza. Anasimamia sera zenye lengo la kuunganisha Wazanzibari bila kujali tofauti za kisiasa, dini au asili.

Pili, katika kipindi kifupi cha uongozi wake, Zanzibar imeshuhudia kasi kubwa ya miradi ya maendeleo, hasa katika sekta za afya, elimu, miundombinu na utalii. Hii ni ishara ya kiongozi anayejali maendeleo ya watu wake.

Tatu, amekuwa kiongozi anayetumia lugha ya maridhiano na mshikamano, jambo ambalo limeleta utulivu wa kisiasa visiwani – tofauti na nyakati zilizopita.

Nne, Dk. Mwinyi amekuwa mstari wa mbele katika kuwajali vijana na wanawake, kupitia fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii, ikiwa ni pamoja na mikopo, ajira na elimu ya ujasiriamali.

Kwa msingi huu, si dhambi kumpongeza na kusema ukweli — Dk. Hussein Mwinyi anastahili maua yake kwa kazi kubwa na uongozi bora aliouonesha. Ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wa kizazi hiki.
 
Halafu ni mtulivu sana, hana maneno mengi na hata akisema hakeri.
Namkubali sana.
Yani Mwinyi ni Raisi mzuri sana ,ukija Zanzibar utashangaa ilovyobadilika Masoko ya kisasa kwerekwe,chuini ,Shule za ghorofa za kutosha ,barabara karibia zote Katia rami hafu Yuko seriouse sana kufuatilia ,Miaka hii mitano Zanzibar inakua kama Dubai
 
Hvi inawezekana Raisi akaongoza Zanzibar miaka kumi halafu akagombea kuwa Raisi wa Jamuhuri? Kijana huyu ana madini sana ni president material sio uchawa muulize mtu yeyote atakwambia
Nadhani after Magufuli angefata yeye kwa ule utaratibu wa kubadilishana hata kwa dini. Ila Mama akimaliza mitano yake hii wanaweza kutuletea wa kutoka Mainland huku
 
Mwinyi ni ithibati ya mtoto alielelewa kiuungwana na kahaba la bar.

Kuna wengine kuanzia yeye kama mzazi ana scandal za usagaji na uuaji, uzao wake una sifa za ufiraji na ufirwaji, ndoa yake haijulikani ipo ama haipo halafu unatarajia kuwe na moral authority kwa mtu kama huyo.
 
Katika historia ya Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameonesha uongozi wa mfano unaozingatia maadili, maendeleo na mshikamano wa wananchi. Kwa msingi huo, sina shaka kusema kuwa yeye ni mmoja wa marais bora kabisa kuwahi kuliongoza taifa la Zanzibar.

Kwanza, Dk. Mwinyi amejipambanua kwa kuwa kiongozi mwenye nidhamu ya hali ya juu, utulivu na busara katika kuongoza. Anasimamia sera zenye lengo la kuunganisha Wazanzibari bila kujali tofauti za kisiasa, dini au asili.

Pili, katika kipindi kifupi cha uongozi wake, Zanzibar imeshuhudia kasi kubwa ya miradi ya maendeleo, hasa katika sekta za afya, elimu, miundombinu na utalii. Hii ni ishara ya kiongozi anayejali maendeleo ya watu wake.

Tatu, amekuwa kiongozi anayetumia lugha ya maridhiano na mshikamano, jambo ambalo limeleta utulivu wa kisiasa visiwani – tofauti na nyakati zilizopita.

Nne, Dk. Mwinyi amekuwa mstari wa mbele katika kuwajali vijana na wanawake, kupitia fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii, ikiwa ni pamoja na mikopo, ajira na elimu ya ujasiriamali.

Kwa msingi huu, si dhambi kumpongeza na kusema ukweli — Dk. Hussein Mwinyi anastahili maua yake kwa kazi kubwa na uongozi bora aliouonesha. Ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wa kizazi hiki.
Hilo linatusaidia je sie watu 65m wa Tanganyika wapate haki yetu na utawala wa viongozi halali.
 
Hvi inawezekana Raisi akaongoza Zanzibar miaka kumi halafu akagombea kuwa Raisi wa Jamuhuri? Kijana huyu ana madini sana ni president material sio uchawa muulize mtu yeyote atakwambia
Baba yake Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Zbar baadaye akaja kuwa Rais wa Muungano
Mpango wa awali ulikuwa ni huo ila baada ya kifo cha Magufuli na zamu ya urais kwenda Zbar sasa itabidi Rais ajaye atoke Tanganyika
Magufuli pia alipendekeza awe mgombea mwenza ili awe Makamu wake ila Msoga gang ndio ikampitisha Kizimkazi
 
Hvi inawezekana Raisi akaongoza Zanzibar miaka kumi halafu akagombea kuwa Raisi wa Jamuhuri? Kijana huyu ana madini sana ni president material sio uchawa muulize mtu yeyote atakwambia
Hakuna kitu kama hicho.
Tunahitaji mtanganyika gwajima.
 
Katika historia ya Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameonesha uongozi wa mfano unaozingatia maadili, maendeleo na mshikamano wa wananchi. Kwa msingi huo, sina shaka kusema kuwa yeye ni mmoja wa marais bora kabisa kuwahi kuliongoza taifa la Zanzibar.

Kwanza, Dk. Mwinyi amejipambanua kwa kuwa kiongozi mwenye nidhamu ya hali ya juu, utulivu na busara katika kuongoza. Anasimamia sera zenye lengo la kuunganisha Wazanzibari bila kujali tofauti za kisiasa, dini au asili.

Pili, katika kipindi kifupi cha uongozi wake, Zanzibar imeshuhudia kasi kubwa ya miradi ya maendeleo, hasa katika sekta za afya, elimu, miundombinu na utalii. Hii ni ishara ya kiongozi anayejali maendeleo ya watu wake.

Tatu, amekuwa kiongozi anayetumia lugha ya maridhiano na mshikamano, jambo ambalo limeleta utulivu wa kisiasa visiwani – tofauti na nyakati zilizopita.

Nne, Dk. Mwinyi amekuwa mstari wa mbele katika kuwajali vijana na wanawake, kupitia fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii, ikiwa ni pamoja na mikopo, ajira na elimu ya ujasiriamali.

Kwa msingi huu, si dhambi kumpongeza na kusema ukweli — Dk. Hussein Mwinyi anastahili maua yake kwa kazi kubwa na uongozi bora aliouonesha. Ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wa kizazi hiki.
MashaAllah
 
Kwa wale askari walio na miaka kumi na sita kupiga kura?
 
Zanzibar ni sshemu salama sana kuishi kwa sasa tofauti na miji kama Dar, Arusha n. K
 
Katika historia ya Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameonesha uongozi wa mfano unaozingatia maadili, maendeleo na mshikamano wa wananchi. Kwa msingi huo, sina shaka kusema kuwa yeye ni mmoja wa marais bora kabisa kuwahi kuliongoza taifa la Zanzibar.

Kwanza, Dk. Mwinyi amejipambanua kwa kuwa kiongozi mwenye nidhamu ya hali ya juu, utulivu na busara katika kuongoza. Anasimamia sera zenye lengo la kuunganisha Wazanzibari bila kujali tofauti za kisiasa, dini au asili.

Pili, katika kipindi kifupi cha uongozi wake, Zanzibar imeshuhudia kasi kubwa ya miradi ya maendeleo, hasa katika sekta za afya, elimu, miundombinu na utalii. Hii ni ishara ya kiongozi anayejali maendeleo ya watu wake.

Tatu, amekuwa kiongozi anayetumia lugha ya maridhiano na mshikamano, jambo ambalo limeleta utulivu wa kisiasa visiwani – tofauti na nyakati zilizopita.

Nne, Dk. Mwinyi amekuwa mstari wa mbele katika kuwajali vijana na wanawake, kupitia fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii, ikiwa ni pamoja na mikopo, ajira na elimu ya ujasiriamali.

Kwa msingi huu, si dhambi kumpongeza na kusema ukweli — Dk. Hussein Mwinyi anastahili maua yake kwa kazi kubwa na uongozi bora aliouonesha. Ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wa kizazi hiki.
Trust me yule jamaa ata angekuwa rais wa Tanzania wananchi wangempenda sana. Ni mtu poa sana na anaishi uhalisia.
 
Back
Top Bottom