beberu la mtaa
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 682
- 1,666
Kura haina maana yeyote, tunaongelea uongozi Bora mkuu 🙏Kwa wale askari walio na miaka kumi na sita kupiga kura?
Kura haina maana yeyote, tunaongelea uongozi Bora mkuu 🙏Kwa wale askari walio na miaka kumi na sita kupiga kura?
Kwasasa CCM ilipofika hata wakicompete na shati litashida simply kwakua watu wameichukia lakini ukweli ni kuwa Dkt. Mwinyi ni Rais bora sana.Kama kweli ni Raisi bora mwambieni aruhusu tume huru ya uchaguzi......