Home tutor Dar
Senior Member
- Feb 23, 2025
- 126
- 156
Yani Mwinyi ni Raisi mzuri sana ,ukija Zanzibar utashangaa ilovyobadilika Masoko ya kisasa kwerekwe,chuini ,Shule za ghorofa za kutosha ,barabara karibia zote Katia rami hafu Yuko seriouse sana kufuatilia ,Miaka hii mitano Zanzibar inakua kama DubaiHalafu ni mtulivu sana, hana maneno mengi na hata akisema hakeri.
Namkubali sana.
Hvi inawezekana Raisi akaongoza Zanzibar miaka kumi halafu akagombea kuwa Raisi wa Jamuhuri? Kijana huyu ana madini sana ni president material sio uchawa muulize mtu yeyote atakwambiaHongera zao.
Nadhani after Magufuli angefata yeye kwa ule utaratibu wa kubadilishana hata kwa dini. Ila Mama akimaliza mitano yake hii wanaweza kutuletea wa kutoka Mainland hukuHvi inawezekana Raisi akaongoza Zanzibar miaka kumi halafu akagombea kuwa Raisi wa Jamuhuri? Kijana huyu ana madini sana ni president material sio uchawa muulize mtu yeyote atakwambia
Hilo linatusaidia je sie watu 65m wa Tanganyika wapate haki yetu na utawala wa viongozi halali.Katika historia ya Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameonesha uongozi wa mfano unaozingatia maadili, maendeleo na mshikamano wa wananchi. Kwa msingi huo, sina shaka kusema kuwa yeye ni mmoja wa marais bora kabisa kuwahi kuliongoza taifa la Zanzibar.
Kwanza, Dk. Mwinyi amejipambanua kwa kuwa kiongozi mwenye nidhamu ya hali ya juu, utulivu na busara katika kuongoza. Anasimamia sera zenye lengo la kuunganisha Wazanzibari bila kujali tofauti za kisiasa, dini au asili.
Pili, katika kipindi kifupi cha uongozi wake, Zanzibar imeshuhudia kasi kubwa ya miradi ya maendeleo, hasa katika sekta za afya, elimu, miundombinu na utalii. Hii ni ishara ya kiongozi anayejali maendeleo ya watu wake.
Tatu, amekuwa kiongozi anayetumia lugha ya maridhiano na mshikamano, jambo ambalo limeleta utulivu wa kisiasa visiwani β tofauti na nyakati zilizopita.
Nne, Dk. Mwinyi amekuwa mstari wa mbele katika kuwajali vijana na wanawake, kupitia fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii, ikiwa ni pamoja na mikopo, ajira na elimu ya ujasiriamali.
Kwa msingi huu, si dhambi kumpongeza na kusema ukweli β Dk. Hussein Mwinyi anastahili maua yake kwa kazi kubwa na uongozi bora aliouonesha. Ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wa kizazi hiki.
Baba yake Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Zbar baadaye akaja kuwa Rais wa MuunganoHvi inawezekana Raisi akaongoza Zanzibar miaka kumi halafu akagombea kuwa Raisi wa Jamuhuri? Kijana huyu ana madini sana ni president material sio uchawa muulize mtu yeyote atakwambia
Hakuna kitu kama hicho.Hvi inawezekana Raisi akaongoza Zanzibar miaka kumi halafu akagombea kuwa Raisi wa Jamuhuri? Kijana huyu ana madini sana ni president material sio uchawa muulize mtu yeyote atakwambia
MashaAllahKatika historia ya Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameonesha uongozi wa mfano unaozingatia maadili, maendeleo na mshikamano wa wananchi. Kwa msingi huo, sina shaka kusema kuwa yeye ni mmoja wa marais bora kabisa kuwahi kuliongoza taifa la Zanzibar.
Kwanza, Dk. Mwinyi amejipambanua kwa kuwa kiongozi mwenye nidhamu ya hali ya juu, utulivu na busara katika kuongoza. Anasimamia sera zenye lengo la kuunganisha Wazanzibari bila kujali tofauti za kisiasa, dini au asili.
Pili, katika kipindi kifupi cha uongozi wake, Zanzibar imeshuhudia kasi kubwa ya miradi ya maendeleo, hasa katika sekta za afya, elimu, miundombinu na utalii. Hii ni ishara ya kiongozi anayejali maendeleo ya watu wake.
Tatu, amekuwa kiongozi anayetumia lugha ya maridhiano na mshikamano, jambo ambalo limeleta utulivu wa kisiasa visiwani β tofauti na nyakati zilizopita.
Nne, Dk. Mwinyi amekuwa mstari wa mbele katika kuwajali vijana na wanawake, kupitia fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii, ikiwa ni pamoja na mikopo, ajira na elimu ya ujasiriamali.
Kwa msingi huu, si dhambi kumpongeza na kusema ukweli β Dk. Hussein Mwinyi anastahili maua yake kwa kazi kubwa na uongozi bora aliouonesha. Ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wa kizazi hiki.
Karithi tabia ya baba yake. Hata Dr shein mtu poa sana. Alikuwa tayari kukubali kushindwa uchaguzi 2015 nakumuachia maalim seif lakini mkapa na Kikwete wakaingilia kati kumuonya nakumtishia.Halafu ni mtulivu sana, hana maneno mengi na hata akisema hakeri.
Namkubali sana.
Kwa wale askari walio na miaka kumi na sita kupiga kura?Katika historia ya Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameonesha uongozi wa mfano unaozingatia maadili, maendeleo na mshikamano wa wananchi. Kwa msingi huo, sina shaka kusema kuwa yeye ni mmoja wa marais bora kabisa kuwahi kuliongoza taifa la Zanzibar.
Kwanza, Dk. Mwinyi amejipambanua kwa kuwa kiongozi mwenye nidhamu ya hali ya juu, utulivu na busara katika kuongoza. Anasimamia sera zenye lengo la kuunganisha Wazanzibari bila kujali tofauti za kisiasa, dini au asili.
Pili, katika kipindi kifupi cha uongozi wake, Zanzibar imeshuhudia kasi kubwa ya miradi ya maendeleo, hasa katika sekta za afya, elimu, miundombinu na utalii. Hii ni ishara ya kiongozi anayejali maendeleo ya watu wake.
Tatu, amekuwa kiongozi anayetumia lugha ya maridhiano na mshikamano, jambo ambalo limeleta utulivu wa kisiasa visiwani β tofauti na nyakati zilizopita.
Nne, Dk. Mwinyi amekuwa mstari wa mbele katika kuwajali vijana na wanawake, kupitia fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii, ikiwa ni pamoja na mikopo, ajira na elimu ya ujasiriamali.
Kwa msingi huu, si dhambi kumpongeza na kusema ukweli β Dk. Hussein Mwinyi anastahili maua yake kwa kazi kubwa na uongozi bora aliouonesha. Ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wa kizazi hiki.
Mtoboa siri ushatoboa Siri kama kawaida yakoNaishi Zanzibar toka mwaka 2018, unachokisema ni sahihi kabisa. Zanzibar imebadilika kabisa kimaendeleo.
Trust me yule jamaa ata angekuwa rais wa Tanzania wananchi wangempenda sana. Ni mtu poa sana na anaishi uhalisia.Katika historia ya Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameonesha uongozi wa mfano unaozingatia maadili, maendeleo na mshikamano wa wananchi. Kwa msingi huo, sina shaka kusema kuwa yeye ni mmoja wa marais bora kabisa kuwahi kuliongoza taifa la Zanzibar.