Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Kila asubuhi tunayofungua macho ni golden opportunity – ni zawadi ya bei ghali mno kutoka kwa Mwenyezi Mungu, ambaye hakutuamsha kwa bahati mbaya, bali kwa sababu kubwa sana. Mungu hakuipeleka pumzi yako leo kwa makosa, kuna jambo anataka ulitimize. Lakini tatizo ni moja tu: watu wengi wanakaa tu kizembe, wakiwa wamebanana kwenye comfort zone ya uvivu na lawama. Bro, hiyo siyo life!
Ukishaamka na uko hai, una viungo vyako vyote, uko timamu – bro, hiyo ni capital ya maana sana kuliko hata mtaji wa pesa. Usianze siku yako ukiwa bado kwenye mindset ya "maskini mimi" – that’s an insult to God’s plan. Mungu hakutuleta duniani ili tujae kwenye headlines za mateso, bali alimtuma mwanawe aje kutukomboa – lakini wewe bado unalala na kulaumu serikali, wazazi au rafiki zako? Come on!
Uhai ni mtaji, afya ni silaha, akili ni hazina. Ukiamka asubuhi bila direction, bila vision, bila hata shukrani kwa Mungu – uko sawa na mtu aliyeishi lakini hakuwahi kuishi. Bro, waambie wengine – poverty ni adui, ni jela ya akili. Tujenge mindset ya kukataa umaskini kwa nguvu zote. Sisemi kila mtu awe milionea, lakini kila mtu ana wajibu wa kuishi maisha yenye heshima, bila kuwa tegemezi, bila kuokota makombo ya walioamka mapema na kupambana.
Hakuna mwanadamu aliyeumbwa kuwa maskini. Maskini ni hali ya akili, siyo hali ya mfuko. Fikiria vichwa vingi tunavyo navyo huku mtaani, vijana wenye uwezo wa kutikisa dunia lakini wamezama kwenye mitandao, memes na maongezi ya ‘tukutane baa’. Time is moving fast bro – hakuna time ya kufikiri kama mvivu. Hustle kwa nguvu zako zote, msikilize Mungu, soma, tafuta maarifa, jifunze skills, pigana na hofu zako, acha makundi yasiyo na future.
Sio kila mtu atakuamini mwanzo, sio kila mtu atakushangilia – wengine wata-cheer ukishindwa. But guess what? Hakuna mpambanaji aliekufa maskini – hakuna kabisa. Huwezi kujituma, ukaweka juhudi, ukasali, ukajikaza halafu ukose mafanikio – haitowezekana! Labda yawe delayed, but never denied. Wale wanaokusumbua leo wataanza kukuita boss kesho – just stay focused, don’t quit.
Na kama unashindwa sasa hivi, don't panic – usikate tamaa kwa shida za muda mfupi. Mapambano ni sehemu ya safari. Wale walioshinda walianguka mara nyingi lakini hawakubaki chini. Siku zote mshirikishe Mungu – put God in the centre of your hustle, mwambie ndoto zako, mwambie malengo yako, na mshukuru kila hatua unapopiga. Tenga muda wa sala, tafakari, jipe moyo, remind yourself who the hell you are!
Kaka na dada zangu wa JF, najua maisha si rahisi, lakini hatuwezi kuendelea kuishi kwa huruma ya wengine. Lazima tujenge mifumo yetu. Lazima tubadili njia tunazotumia kuishi. Toeni mawazo, anzisheni miradi, changamkieni fursa – hata ndogo. Anzisha biashara ya mtandaoni, jifunze tech, shughulika na kilimo, jisomee. Dunia ya sasa haimpendelei mvivu.
Na ukiona mambo hayaendi, usimlaumu Mungu – jiulize umefanya nini tofauti jana. Jiulize umejitolea kiasi gani. Jiulize unaridhika na nini. Jiulize je, ni mindset yako ndiyo imekufunga?
Finally 🫰🏽 No one can stop you but YOU! Hata wale waliokutangulia waliwahi kuwa nyuma, lakini waliamua kupambana. Acha kulalamika, acha visingizio, acha kusubiri miujiza iliyojaa uvivu. Amini, sali, na fanya kazi kama kichaa – utashangaa Mungu anakufungulia njia ambazo hukuwahi kufikiria.
Wake up, rise up, grind hard, and never settle – sababu bro, hustle haifai kwa uzembe! ✊🏽🔥💯