Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Lipstick ni urembo uliotumiwa na wanawake wa Misri ya zamani na utamaduni huu iliendekea Uajemi na India. Rangi hii ilipatikana kwa kuponda mawe.
Waislamu wa meanzo walifanikiwa kutengeneza lipstick yenye manukato. Ilikuwa ni zawadi ya tunu kwa mwanamke unaempenda na kuheshimu.
Ustasrabu huu
Waislamu wa meanzo walifanikiwa kutengeneza lipstick yenye manukato. Ilikuwa ni zawadi ya tunu kwa mwanamke unaempenda na kuheshimu.
Ustasrabu huu