Hustoria ya rangi ya mdomo lipstick

Hustoria ya rangi ya mdomo lipstick

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Lipstick ni urembo uliotumiwa na wanawake wa Misri ya zamani na utamaduni huu iliendekea Uajemi na India. Rangi hii ilipatikana kwa kuponda mawe.

Waislamu wa meanzo walifanikiwa kutengeneza lipstick yenye manukato. Ilikuwa ni zawadi ya tunu kwa mwanamke unaempenda na kuheshimu.

Ustasrabu huu
 
Napenda lipstick kuliko chochote bora nikose hata mafuta ya kujipaka kuliko niikose.mama yangu kipindi Niko mdogo alikuwa anapaka kiwi nyeusi yeye na mashosti zake.
 
Back
Top Bottom