Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Wazima wote!
Hukumkuta Bikra!
Huna uhakika watoto ni wako!
Unajua Kabisa Mfumo wa Sheria za sasa katika Masuala ya ndoa unamgeuza mwanaume Msukule wa kuzalisha Mali na kunyonywa.
Unajua Kabisa, hata mkiachana watoto wanaweza kuchukuliwa na Mkeo na hao watoto wakapewa mwanaume mwingine na usiwe na lakufanya.
Unajua Kabisa siku mkiachana, kwa vyovyote iwavyo mtagawana Mali ambazo wewe ndiye umezitolea jasho. Na wewe hautaki Jambo Hilo litokee. Hata kama ni asilimia 30 au 40 za Mali atakazopewa Mkeo. Unajua Kabisa itakuuma.
Sasa nini kinachokufanya UOE?
Vijana wangu, najua hamwezi kunielewa.
Zama zimebadilika Sana.
Siku hizi sio zamani kwamba watu Wana Ile kuoneana haya/aibu kwamba jamii itanionaje. Mambo yapo tofauti Sana.
Usijedanganywa na mtu yeyote. Kama hutaki jasho lako liende Bure. Kama hutaki kutapeliwa, kama hutaki kuingizwa mkenge. Na unajijua wewe ni mtafutaji ninkushauri USIOE.
NI Ushauri sio lazima maana najua wpo wenye Akili ndogo watasema nimewalazimisha.
Zaa watoto Basi! Hakikisha ni watoto wako. Achana na mambo ya kusema mtoto ni Mtoto. Wewe sio Serikali. Kwa serikali mtoto ni Mtoto. Ila kwenye mambo ya Vinasaba sio kila mtoto ni Mtoto wako.
Ndio maana wewe huwezi kuwa mchina, na mchina hawezi kuwa wewe. Ila kiserikali na kisiasa unaweza ukawa mchina na mchina anaweza kuwa Mtanzania.
Upo kwenye Zama ambazo wanawake wanatazama pesa kuliko kitu chochote. Na sio pesa walizozizalisha, nope! Pesa za wanaume, misukule Yao.
Wanapokuambia utafute pesa wanamaanisha wewe ni Msukule wa kuhangaika kwaajili Yao na huwezi Kupata malipo yoyote zaidi ya kukudharau ukishaishiwa nguvu.
Mtu yeyote ambaye yupo after money huyo usitafute upendo Wala heshima yake. Hawezi kukupenda Wala kukuheshimu.
Wanawake wengi Sana ni material orientated, huelewi nini kujua watu wa aina hiyo hupaswi kuwazingatia Wala kuwapa umuhimu Mkubwa katika maisha yako. Tena kuwa muhimu kwa kiwango cha juu kabisa cha kuwa MKE wako.
Tafuta pesa ndio lakini sio kwaajili ya wanawake. Tafuta pesa kwaajili yako MWENYEWE na watoto uliowathibitisha ni wako.
Mtu yeyote anayetafuta pesa kwaajili ya wanawake wa zama hizi ni Msukule Fulani hivi. Mtumwa Fulani hivi.
Alafu ulivyomjinga mwisho wa siku unapiga kelele oooh wanawake hawana Shukrani, oooh! Nimemfanyia ABC, ulifanya kwa Usukule wako. Hukujua unayemfanyia ni nani.
Kama utapata mwanamke ambaye sio materialistic ambao ni Wachache Sana, Watibeli huyo Muoe.
Mwanamke ambaye mtakuwa mwili Mmoja. Mtakayeunda familia Moja.
Mwanamke ambaye akitoa anafurahi na sio hayo majizi mnayookota huko barabarani, ambayo akitoa kidogo analalamika ana anataka umrudishie.
Mimi nimeshamaliza.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam