Hutaki kugawana Mali zako halafu unafunga ndoa, una akili sawasawa KWELI? Ni Bora usioe tuu!

Sure kabisa Familiar, oy mimi sioi nitakuwa na ishi tu na mwanamke ili asipate nguvuu ya kunitapeli. kuoa nitaoa nikiwa uzeeni tena kwenye miaka 70 najua katika huu umri wazee wanajikatiaga tamaa ya kuishi kwasabb ya umri kusonga, najua hatokuwa na nguvuu ya kufanya huo upuuzi.
 

Ukweli mchungu
 
Ukweli mchungu
we huogopi unamfuata binti kumuoa anakuambia we mzee...unamuonyesha mengi na jack unamuuliza nani mzee anakuambia yule ni Mengi.......hahaha...yaani yupo full loaded..kuna mmoja hapa ana changamoto ya uzazi anakimbiza 40's yeye ni kuwarubuni vijana wa 30 to35 anawapa k anawazuzua wanajoin mtaji kwenye business yake wakauwa wafanyakazi..siku akimchoka anadai talaka na mahakamani anakushinda no mgao.... toka ahamie hili eneo ana ndoa kama 4 na ndani ya miaka 3..
 

Hatari Sana hiyo
 
Na ukioa basi usithubutu kuchukua singo maza, hii clip nmeona jana nmecheka sana alaf nikasikitika mana ni ukweli hata kwa mzazi mwenzangu, ni paka na panya ila siku nikiamuaga kunyoosha kiswahili kwa ustaarabu utasikia "tatizo lako wewe mkorofi sana, nakuja"

Your browser is not able to display this video.
 
Kwa Tz bado sheria zetu zina uafadhali mkubwa sana ukilinganisha na nchi nyingine hasa za Ulaya.
Tatizo wanaume wengi wa kibongo hatuna elimu hasa linapo kuja suala la sheria za nchi hii.
Kiufupi %95 ya watz ya walioko kwenye ndoa na ambao hawajaingia kwenye ndoa hawana uelewa wowote wa sheria za ndoa na ndio maana kuna hata wanawake wanao poteza pia haki zao baada ya ndoa zao kuvunjika na kuna wanaume wanatapeliwa kipuuzi na wanawake kwa kutumia cheti cha ndoa.
Mfano kwa mujibu wa sheria ya taraka ya Tz ,mali zilizo patikana kabla ya ndoa huwa hazihusishwi katika mgawanyo wa mali baada ya ndoa kuvunjika, lakini mpaka sasa tunavyo ongea ni wanaume kibao wamesha lizwa na wanawake kwa kugawana mali wamekutwa nazo.

Kiufupi sheria ya ndoa ya Tz ikikuta mwanaume ambaye ni mjanja wa sheria au ukipata wakili mzuri mwana mke hawezi kukutapeli kipuuzi kupitia makaratasi ya ndoa na wanawake kibao walio jaribu kufanya utapeli kwa njia hiyo wengi wameangukia pua.

Pia kenya 🇰🇪 wana sheria nzuri sana ya ndoa mfano mkipeana taraka kwenye mgawanyo wa mali ni lazima mwana mke aoneshe ushahidi na uthibitisho jinsi gani alivyo husika kutafuta hizo mali hata kama zimepatikana ndani ya ndoa.
 
Mapaka shume yanavyoruka na kukanyagana...
Yanaupita huu uzi mithiri ya mgoni aliyenusurika kubambwa...
 
Nisingekuwaga mjanja na kufungua kampuni kabla sijaoa, basi 2018 ningepoteza mali zote walah.

Zilipigwa pasu mali ambazo hazikuwa chini ya kampuni. Na mimi sikuwa nafanya biashara kwa jina langu ila la kampuni, kampuni ambayo bibie alinikuta na mdogo wangu na mshua yumo humo.

Bila hii akili ningepoteza mali wazee.
Mkazo: Sitooa tena kwa kweli. Watoto tayari ninao. Napiga, nakuhudumia ila kuoa tena kanisani, never again.
 
Mwanangubuna pwenti. Muhimu pia mstari wasioe wachaga au wapare na warangi
 

Davis mosha hii ndio ilimuokoa pia
 

Umepiga kwenye mshono Taikon Mtibeli ,Ukweli Mchungu ,The Naked Truth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…